Leo nimekumbuka nyumbani

Toba roho yangu farkhy mie...wallah nimeutamani na hilo pilipili unaweka inakolea utamu wake balaaa....hiyo juice ya mua eeeeh?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Shosti urojo huo mtamu balaa....Cc mimi49Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ushamba kweli ni mzigo...yani nasikiaga tu urojo urojo lakini sijawahi kuona wala kuula....mwe ngoja niujaribu siku moja.....kwa hapa dar unapatikana wapi urojo...
 
Last edited by a moderator:
Ushamba kweli ni mzigo...yani nasikiaga tu urojo urojo lakini sijawahi kuona wala kuula....mwe ngoja niujaribu siku moja.....kwa hapa dar unapatikana wapi urojo...

Mwenzangu mie hata sijui hapo dar wapi unapatikana wacha waje watakuambia....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Toba roho yangu farkhy mie...wallah nimeutamani na hilo pilipili unaweka inakolea utamu wake balaaa....hiyo juice ya mua eeeeh?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Karibu tule ila unapilipili sanaaaa
 
Ushamba kweli ni mzigo...yani nasikiaga tu urojo urojo lakini sijawahi kuona wala kuula....mwe ngoja niujaribu siku moja.....kwa hapa dar unapatikana wapi urojo...

Kwa hapa dar magomeni mikumi, kariakoo masjid manyema na pale shule ya uhuru kuna sehem wanauza
 
Nashindwa ku like post....dah sijui mchina wangu imekuwaje....Anyway asante....hapo magomeni mikumi ni rahisi sana kwangu kufika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…