Leo nimekaa nikakumbuka nyimbo za, zamani kuanzia miaka ya mwaka 1986,

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,625
1,325
ZA Muziki Wa Dansi nikianzia kwa kundi zima la Maquis Original chini ya uongozi wake Baba Mlezi mzee wetu chinyama chiaza, Maquis walitunga Wimbo "Tafadhali Usiwe na hasira" Wimbo huu niliupenda "Mirindimo na mpangilio wa Muziki wake ulikuwa nzuri sanaaa... Tukija kwa, Dk remmy mtoro ongala, na Band yake Super matimila na Mtindo wao WA talakaka, Nao wakatunga nyimbo nyingi Sana tu, lkn Wimbo nilioupenda mtunzi wake Marehemu dk remmy KWA jina ulikuwa unaitwa Ndumilakuwili,Insha'allah Dk remmy, Chinyama chiaza Mwenyezi mungu awalaze mahala pema peponi Ameen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom