Mungu ndio anajua hali niliyokuwa nayo wakati nasuburia majibu ya kipimo hiki.
Ila, nina furaha ya ajabu baada ya kupata matokeo haya.
Wenye gut, karibuni tujue status zetu. Sio mpaka msubiri kupimwa kwa lazima na kaka mkubwa
View attachment 1035553
Sent using
Jamii Forums mobile app