Upigaji?TRA inafanya kazi mwa sifa taasisi za serikali ni kama wanashindana kwenye kuminya watu ili waonekane wameingiza mapato makubwa.
TRA
TRAFFIC
TANESCO
DAWASCO
Hizi team zinashindana nani kinara wakuingiza pesa nyingi serikalini kwa njia yyte iwezekanayo.
TRA hata wakuandikie barua kukubali ufanye jambo Hata siku 1 usije itupa barua waliyokuandikia, utakuja kurukwa kweupe na hutoamini hata uweke mwanasheria gani.
TRA yale macomputer yao ni geresha tu hawahifadhi data za watu wao wanajua tu hifadhi ma faini,ma ongezeko ya kodi unayodaiwa,nk
Ila uende punguza deni, hawana muda wa kuhifadhi hiyo kumbukumbu.. so hakikisha unapojihusisha na TRA una ofisi yako binafsi kwako na secretary wako home wakukutunzia DATA zako or else anyday utalia.
FUNGA BIASHARA hiyo tumia TIN ya mtu fungua biashara hyo hyo kwa TIN ingine tena eneo hilo hilo.
Hawana wanachoweza kukufanya ila Usilipe kodi kama umefunga hyo biashara or else useme unataka kutoka nnje ya hii nchi.
kukwepa ulishindwa mkuu?Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara.
Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii inaendana na makadirio niliyoandikiwa au la!.
Basi afisa wao siku alivyokuja akakiri imekosewa nilivyokadiriwa. Na akaniambie niende chanika ofisini nitapunguziwa kodi
Siku nilivyorudi tena chanika nikakutana huyo Mama bonge Mkuu wao, huwezi ukaamini alikataa kunipunguzia. Na kwa nyodo akanaimbia kama vipi funga hiyo biashara. Maana hawezi kureverse alichokadiria
Baada ya kufikiria mno ikiwa sina namna nikaamua kufunga ile biashara. Kwa kufata utaratibu walionelekeza. Ikiwa ni pamoja na kulipa deni - nilifanya hivyo
Shida nikuwa kila mara natumiwa sms na hao TRA chanika kukumbushwa kulipa kodi ya awamu ya hii wakati nishafunga biashara . Nimeenda huko hawaoneshi ushirikiriano. Kila siku Njoo kesho.
Nifanyeje wadau
Wanaenda kuzificha kwenye makabati nyumbaniWanatuma sms jamani🙌
Kuna hao na Zuku ..
Pole sana TRA ni noma.
Bado hajakufumania akuulize nikupe control number uweke 4M
Au utanipa 2M mkonon.
Usilipe,kama una mpango wa kuanzisha biashara nyingine,tafuta mtu wako wa karibu afungue biashara,Nifanyeje wadau
Whattt???Imeniuma mno.na sina namna tena. Kodi kubwa mno. Ilibdi hata nikope kwenda kulipa deni ambao ni kubwa nalo
Chura kiziwi atakuelewa kweliKUNA TATIZO PAHALA,KUNA WATU WAKUONDOSHWA KWENYE NYAZIFA ZAO!, HAKUNA WAKATI SEREKALI INAPATA TABU KAMA WAKATI HUU, WHY SO!, UA MGAO BANDARI UMEKUWA INSUFIENT?, TUJIONDOE KWENYE DUDE HILO!.
Hii ya msamaha inakuaje mkuu??Unawajua Tra kweli,hawawezi kufunga ,mpaka deni lilipwe,labda aandike barua aombe msamaha wa deni,wauaji Hawa watu
Kati ya watu maadui wa uchumi wa watanzania ni Tra
Kati ya watu maadui wa uchumi wa watanzania ni Tra
Bila kulipa den hawafungi. Hapo mwakani utakuwa unadaiwa pakubwa mnoHii ya msamaha inakuaje mkuu??
Me niliomba yangu wafunge,wamegoma madeni