The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 312
Unawajua Tra kweli,hawawezi kufunga ,mpaka deni lilipwe,labda aandike barua aombe msamaha wa deni,wauaji Hawa watuWe jamaa uko serious kweli?
Biashara umefunga bado unalipa hela?
Imeniuma mno.na sina namna tena. Kodi kubwa mno. Ilibdi hata nikope kwenda kulipa deni ambao ni kubwa naloKati ya watu maadui wa uchumi wa watanzania ni Tra
Na uhakikishe haufanyi tena biashara uende ukalime vbaruaNikifunga biashara
Kodi silipi
Waandike madeni
Wazidishe Pesa
Kodi silipi
achana nao ikiwezekana watie block wakae kwa kutulia.
Duh mbona hatariWanatuma sms jamani[emoji119]
Kuna hao na Zuku ..
Pole sana TRA ni noma.
Bado hajakufumania akuulize nikupe control number uweke 4M
Au utanipa 2M mkonon.
Pole sana mkuu, cha kufanya iyo biashara mpe mkeo afungue kama biashara mpya. Arekodi kila kituWakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara.
Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii inaendana na makadirio niliyoandikiwa au la!.
Basi afisa wao siku alivyokuja akakiri imekosewa nilivyokadiriwa. Na akaniambie niende chanika ofisini nitapunguziwa kodi
Siku nilivyorudi tena chanika nikakutana huyo Mama bonge Mkuu wao, huwezi ukaamini alikataa kunipunguzia. Na kwa nyodo akanaimbia kama vipi funga hiyo biashara. Maana hawezi kureverse alichokadiria
Baada ya kufikiria mno ikiwa sina namna nikaamua kufunga ile biashara. Kwa kufata utaratibu walionelekeza. Ikiwa ni pamoja na kulipa deni - nilifanya hivyo
Shida nikuwa kila mara natumiwa sms na hao TRA chanika kukumbushwa kulipa kodi ya awamu ya hii wakati nishafunga biashara . Nimeenda huko hawaoneshi ushirikiriano. Kila siku Njoo kesho.
Nifanyeje wadau
HUYO MAMA KIBONGE WA HAPO CHANIKA NI WA KUFUKUZWA KAZI TU,HAFAI.Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara.
Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii inaendana na makadirio niliyoandikiwa au la!.
Basi afisa wao siku alivyokuja akakiri imekosewa nilivyokadiriwa. Na akaniambie niende chanika ofisini nitapunguziwa kodi
Siku nilivyorudi tena chanika nikakutana huyo Mama bonge Mkuu wao, huwezi ukaamini alikataa kunipunguzia. Na kwa nyodo akanaimbia kama vipi funga hiyo biashara. Maana hawezi kureverse alichokadiria
Baada ya kufikiria mno ikiwa sina namna nikaamua kufunga ile biashara. Kwa kufata utaratibu walionelekeza. Ikiwa ni pamoja na kulipa deni - nilifanya hivyo
Shida nikuwa kila mara natumiwa sms na hao TRA chanika kukumbushwa kulipa kodi ya awamu ya hii wakati nishafunga biashara . Nimeenda huko hawaoneshi ushirikiriano. Kila siku Njoo kesho.
Nifanyeje wadau
KUNA TATIZO PAHALA,KUNA WATU WAKUONDOSHWA KWENYE NYAZIFA ZAO!, HAKUNA WAKATI SEREKALI INAPATA TABU KAMA WAKATI HUU, WHY SO!, UA MGAO BANDARI UMEKUWA INSUFIENT?, TUJIONDOE KWENYE DUDE HILO!.Wawekezaji nao wamegoma huko.