Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,791
Afu vidada vyenyewe vichokozo, vimenibania pua. Majaribu ni mtajiWalichonifanyiaga hao wadada wa barbershop mimi kama mwanaume, sitaki kabisa kuingia mahali wanaita barbershop. Wana majaribu, unaweza ukatoka umejiloanisha.
Kama una moyo mdogo usiingie humo. Jogoo atasimama kwelikweliUmeingia Jf kabla ya scrub kumbe...?
hahhhahahaha nacheka na neno lako majaribu ni mtaji !lolAfu vidada vyenyewe vichokozo, vimenibania pua. Majaribu ni mtaji
Mwenge wa Uhuru uliwashwaSirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu. Baada ya kumaliza kunyolewa kinyozi akanishauri nifanye scrubb.
Basi nikaingia kwenye kijichumba, huko nikawakuta wadada wa3 warembo. Kidume nikakalishwa. Akaja m1 akaanza kunipaka aina ya mafuta lakini kama yana mchanga hivi. Akaanza kunichua sura, akaja mpaka kwenye kidevu, huku akiniambia una ndevu nzuri! Akaja kwenye masikio huko ndio ikawa shida. Aliendelea kunisugua sagua uso kidevu masikio na shingo huku akitumia mikono yake laini, mwenzenu nimepata shida.
Alipomaliza tu akanipeleka kwenye kijibomba sasa ni wakati wa kuoshwa. Mungu wangu, majaribu ni mtaji. Mrembo yule alishajua nipo kwenye hali gani akazidisha uchokozi, dah.
Mzee mzima nikafutwa na taulo nikapakwa after sheve kisha mafuta.
Sirudii tena huu upuuzi.
Kweli kuna majaribu mkuu. Vile vibinti sijui hata vinalipwaje!hahhhahahaha nacheka na neno lako majaribu ni mtaji !lol
Kweli kuna majaribu mkuu. Vile vibinti sijui hata vinalipwaje!
Hahahahaa. Some tyms eti anajifanya kama anakunongoneza afu anapuliza flana hivi kwenye sikio. Nimeota vipele vya baridi hivyo....Mwenge wa Uhuru uliwashwa
Mkuu hujachafuka kweli?Hahahahaa. Some tyms eti anajifanya kama anakunongoneza afu anapuliza flana hivi kwenye sikio. Nimeota vipele vya varidi hivyo....
Nishasema sirudii. D😀😀kama unajiheshim nahakika hutarud tena huko ! kubaya sana ,sana
Hanma. Nashukuru kulikuwa na tv ikionyesha game ya simba na green nini sijui. Kila nikijaribu kuangalia kwa ajili ya kupotezea ananigeuza shingo. Dah kweli shetani ana jinsia ya kike.Mkuu hujachafuka kweli?
Mkuu kumbe tukio limetokea Leo,pole sanaHanma. Nashukuru kulikuwa na tv ikionyesha game ya simba na green nini sijui. Kila nikijaribu kuangalia kwa ajili ya kupotezea ananigeuza shingo. Dah kweli shetani ana jinsia ya kike.
Leo hii mkuu. Sheeda. Vibint vyenyewe vidogo. Kweli leo nimeshikwaMkuu kumbe tukio limetokea Leo,pole sana