Leo nimecheka sana baada ya kusikiliza mazungumzo ya maafisa wa Bodi ya Sukari Tanzania

spyboss

Member
Nov 30, 2015
45
69
Nilikuwa nakula kwenye mgahawa mmoja hapa Posta nikakuta maafisa wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) wanakula huku wakiongea.

''Eti tumepona aisee Magu anaweza kuwa kashamalizana na sisi baada ya kusema tena kwenye media kuwa hakuna kuagiza sukari''
.

Hawa jamaa inaonekana wana madudu mengi sana huko kwao.Nakumbuka mwaka jana walishawahi kufanya kitu kimoja cha kuajiri mtoto wa kike wa Mkurugenzi katika bodi yao ya wakurugenzi ambaye hakuwa hata short listed wala kwenye interview.

Huku ni kukosa maadili katika utendaji wa kazi wa idara nzima ya Rasilimali watu.
 
Zaidi nimekasirika baada ya kusoma ulichokiandika...kwakweli haichekeshi
 
Nilikuwa nakula kwenye mgahawa mmoja hapa Posta nikakuta maafisa wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) wanakula huku wakiongea.

''Eti tumepona aisee Magu anaweza kuwa kashamalizana na sisi baada ya kusema tena kwenye media kuwa hakuna kuagiza sukari''
.

Hawa jamaa inaonekana wana madudu mengi sana huko kwao.Nakumbuka mwaka jana walishawahi kufanya kitu kimoja cha kuajiri mtoto wa kike wa Mkurugenzi katika bodi yao ya wakurugenzi ambaye hakuwa hata short listed wala kwenye interview.

Huku ni kukosa maadili katika utendaji wa kazi wa idara nzima ya Rasilimali watu.
Inawezekana wote walioitwa walikosa sifa,wakafa head hunting ndio akateuliwa huyo unaemsakama
 
Back
Top Bottom