zipuu mzigua bwana nilishadindisha hapaNilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaejibu sshombo kwa kusaidiwa kujisitiri ni mjingaKuna mmoja alitoka sidiria juu ya blouse
Nikamvuta nikamuuliza bibie kwema!
Ndo anajitizama haamini kama amekatisha mitaa hakuna aliyemshtua
Ila Wengine wanaogopa response anaweza akajibiwa shombo,
Ndo maana Wengine hukaa kimya
[emoji252] [emoji479]
Asanteeepole sana... ila hilo mbona linajulikana toka enzi na enzi kuwa wanawake hampendani
Aibu yakePole sana punani yako kuchurupuka kuonekana.
Niliona moja yan pichu ilee nkamsimamisha ili nimtaarifu akanisonya huku anaenda nkamwambia kwa sauti zipu iko wazi, kupeleka mkono akashtuka na kuifunga na kunigeukia, kuniona akarudi kushukuru na kuomba msamaha, eti alijua ni wale wanaume wanaosumbua wanawake hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo sasa!! maana palikua na watu, na akaingia dukani akaniungisha tukawa marafiki.
Code hio kakupa, kwa kukiangalia alijua utabutuka uifungeNilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pocbl huyo dada ni bubu.Akaona mlolongo wa matumizi ya ishara utakuwa jau.Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ningekupa hi kwanza then ningekuvuta pembeni kisha ningekuomba nikusaidie kitu kwa upoleee halafu ningekufunga taratibuuu!Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa zingine kwa kizazi hiki ni ngumu kujua. Wanawake wenzenu wanashindwa elewa kama ni fashion au mnatangaza bidhaa, anaona anaweza akakwambia kisha ukamshushua.Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku hizi wengi huwa hamvai kufuli inamaana hapo vuzi lilikuwa linachungulia?Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
sema hata mimi binafsi huwa siwaambii jinsia kike kama nguo zao hazijakaa vzr au sehem za mwili wao zinaonekana huwa natazama nakuendelea na mambo yngu mana kuna miaka nyuma nilishawahi kuchambwa hatar kisa tu nimemwambia apandishe nguo vzr maziwa yote yanaonekana .Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah. Poleni sana mlokumbwa na hilo.sema hata mimi binafsi huwa siwaambii jinsia kike kama nguo zao hazijakaa vzr au sehem za mwili wao zinaonekana huwa natazama nakuendelea na mambo yngu mana kuna miaka nyuma nilishawahi kuchambwa hatar kisa tu nimemwambia apandishe nguo vzr maziwa yote yanaonekana .
Asante ...wanawake tuna kaz kubwa sana
Vuzi la kazi gani mimiNa siku hizi wengi huwa hamvai kufuli inamaana hapo vuzi lilikuwa linachungulia?