[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee,nimecheka,nimecheka,nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu leo nimekutana na mtoto mzuri nikaona usiwe taabu acha niongeo naye kdgo hata namba niombe ikiwezekana nitupie maneno yangu cku
Mmmhh mkuu nilishindwa yaan kuomba namba tu fasta natangaziwa mashidaHuyo Demu nae anaendekeza matatizo
Watabaki wenyewe. Watu tuna shida tusikiloze zako kwaniniHii iwe mbinu ya wanawake kuwakataa wanaume wasiowataka, kuwaomba pesa, pesa, pesa...
Hata cmtafuti na namba na futa.Hiyo ilikuwa weekly test,bado mtihani wenyewe ulikuwa unakuja..hahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ilikuwa weekly test, bado mtihani wenyewe ulikuwa unakuja..hahahahahaha
Dah... ucfute kwanxa iyo cm..... ana chura? km anayo toa iyo namb apa tumtafte 😁😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Dah... ucfute kwanxa iyo cm..... ana chura? km anayo toa iyo namb apa tumtafte [emoji16][emoji16]