watanganyika walio wengi wameathiriwa sana kiakili,they were hypnotised from 1964 mpaka leo wanaishi kwa aidia za kitumwa,mbaya zaidi wamezikubali aidia hizi kwenye nafsi zao,kiswahili tunasema "mkataa kwao mtumwa"
kama sisi waznzibari tumelazimishwa kuingia ushirika na tanganyika lakini mpaka leo na kila kizazi kijacho hatujaziweka fikra hizi ndani ya nafisi na kujifanya sisi ni watanzania, ndio mana we are proud for who we are wazanzibari,wala sisi sio watanzania,tunatambua kuwa tanzania ni mfumo wa kisiasa tu na sio asili yetu.
kwetu sisi wazanzibari wengi wetu ni aibu kabisa kujitambulisha kama mtanzania,kwa sababu kufanya hivyo ni kutojitambua,narudia tena tanzania ni political term or expression iliyowekwa kutambulisha nchi mbili kisiasa na sio kiasili. jambo la ajabu kwa wenzetu watanganyika wao ni aibu kujitambulisha kama watanganyika ajabu sana kutokufahamu uhalisi na asili yako, hata kama unaiona mbaya lakini ndio asili yako be proud of it