Leo ni uhuru wa nchi gani?

Leo ni uhuru wa nchi gani?

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Kwanza nitoe pongezi kwa mheshimiwa rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kuamua siku ya leo iwe ni siku ya usafi nchi nzima. Lakini pia kwa watanzania ambao wamejitokeza kwa namna ya pekee katika kutekeleza agizo hilo la rais.
Kumekuwa na kasumba ya watanzania walio wengi kukwepa ukweli unaowaudhi wakubwa fulani ndani ya nchi, hasa kwa kulitamka neno TANGANYIKA. Imefika wakati watu wanaona dhambi kutamka Tanganyika. Hata viongozi wakubwa ndani ya nchi wanaishia kusema "Uhuru wa Tanzania bara". Lakini kimsingi hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara iliyokabidhiwa uhuru. Mbona hatuhofii kusema Zanzibar au Unguja ama Pemba. Kwa nini midomo yetu inakuwa mizito kutamka Tanganyika?
Ukweli ni Tanganyika ndiyo ilipata uhuru 09/12/1961 na si Tanzania au Tanzania Bara kama wengi tunavyokaririshwa.
 
Attachments

  • 1449664117978.jpg
    1449664117978.jpg
    7.8 KB · Views: 437
Uhuru wa nchi iliyozaliwa 9/12/1961 na kufa 26/4/1964, kisha mzimu wake kuendelea kuishi hadi leo...
 
Da! Jibu jepesi kwa swali gumu. Mtoa mada kauliza kitu cha msingi sana lakini kama ilivyo kawada yetu sisi watanganyika kuchukulia mambo kijuujuu
 
ni uhuru wa tanganyika ambayo iliolewa na znz mwaka 1964 na kubadili jina kuwa tanzania!
 
kwani wewe hujui anayeolewa ndio hubadilisha jina?

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mheshimiwa rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kuamua siku ya leo iwe ni siku ya usafi nchi nzima. Lakini pia kwa watanzania ambao wamejitokeza kwa namna ya pekee katika kutekeleza agizo hilo la rais.
Kumekuwa na kasumba ya watanzania walio wengi kukwepa ukweli unaowaudhi wakubwa fulani ndani ya nchi, hasa kwa kulitamka neno TANGANYIKA. Imefika wakati watu wanaona dhambi kutamka Tanganyika. Hata viongozi wakubwa ndani ya nchi wanaishia kusema "Uhuru wa Tanzania bara". Lakini kimsingi hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara iliyokabidhiwa uhuru. Mbona hatuhofii kusema Zanzibar au Unguja ama Pemba. Kwa nini midomo yetu inakuwa mizito kutamka Tanganyika?
Ukweli ni Tanganyika ndiyo ilipata uhuru 09/12/1961 na si Tanzania au Tanzania Bara kama wengi tunavyokaririshwa.
Isiwe ajaabu.., kwani hata mtoto huzaliwa na akafa papo hapo, baadae akazaliwa mtoto mwingine akaishi !!!! (Tanganyika ni kichanga kilicho dead, Tanzania ni mtoto aliekuwa na uhai !!)

real G kayaman MFIZIGO
@
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom