Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Umesahau kutoka kwa g record ya Roy.... Ice cream ya noorah

Na zile za park lane.... Aisha aisha na nafasi nyingine zimepikwa nani vile? Halafu kuna crunk moja la cpwaa nimelisahau jina em nikumbushe......
Nafasi nyingine ilipikwa na jamaa wa Tabasam rec...mombasa
 
Rafael - Fred Saganda
Kadem ka mizinga - Bambo ft. Mtanga
Subira - Shaa
Hizi nyimbo kwangu ni burudani hasa.
 
Beat ya Mh. Temba ft: Dully sykes, Nampenda yeye!
Huu wimbo unanikumbusha kisa kimoja one day tuko msibani tunazika,
Sasa Sheikh aliekua ameingia ndani kwenye kaburi baada ya Kumuweka marehemu vizuri pale chini akatoa kichwa nje kuomba aletewe majani,
Basi akaita "Majaniiiiii", kukiwa na utulivu eneo lile la makaburi mhuni mmoja katika wale waliokuja kuzika akaitikia "Temba Hapa"
 
Mikasi -Ngwair
Bongo.com- TNG
Hii leo- East coast
Hizi beats ni balaa sana aisee
 
Huu wimbo unanikumbusha kisa kimoja one day tuko msibani tunazika,
Sasa Sheikh aliekua ameingia ndani kwenye kaburi baada ya Kumuweka marehemu vizuri pale chini akatoa kichwa nje kuomba aletewe majani,
Basi akaita "Majaniiiiii", kukiwa na utulivu eneo lile la makaburi mhuni mmoja katika wale waliokuja kuzika akaitikia "Temba Hapa"
Hahahaa we jamaa duuh
 
kwangu mimi leo ila ngoma siijui jina ila inaelezea magonjwa na dawa zinacheza mpira
 
Back
Top Bottom