Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Oct 1, 2011 #1 Leo ni siku ya wazee duniani! Nawatakiwa wazee wote waliokula chuvi nyingi heri na fanaka katika siku hii yenu.
Leo ni siku ya wazee duniani! Nawatakiwa wazee wote waliokula chuvi nyingi heri na fanaka katika siku hii yenu.
mysteryman JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 1,080 Reaction score 398 Oct 1, 2011 #2 Hiyi siku zimekua nyingi kweli ...mwishowe itakuja na siku ya wapiga puny...eto
Shapu Platinum Member Joined Jan 17, 2008 Posts 2,123 Reaction score 821 Oct 1, 2011 #3 Pia ni siku ya pombe dunian - beer festival. Nenda leaders
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Oct 1, 2011 #4 Happy wazee day!!
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Oct 1, 2011 Thread starter #5 mysteryman said: Hiyi siku zimekua nyingi kweli ...mwishowe itakuja na siku ya wapiga puny...eto Click to expand... Huko siko mkuu!
mysteryman said: Hiyi siku zimekua nyingi kweli ...mwishowe itakuja na siku ya wapiga puny...eto Click to expand... Huko siko mkuu!
T Tikerra JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 1,702 Reaction score 150 Oct 1, 2011 #6 Ndallo said: Leo ni siku ya wazee duniani! Nawatakiwa wazee wote waliokula chuvi nyingi heri na fanaka katika siku hii yenu. Click to expand... Siku ya wazee,siku ya wakina mama,siku ya mikono,siku ya figo,siku ya matiti,siku ya wajinga nk.,mpaka mwishowe siku ya .....Jamaa wanatuzuga tu,wala hatujui kinachoendelea.Kazi kweli kweli.
Ndallo said: Leo ni siku ya wazee duniani! Nawatakiwa wazee wote waliokula chuvi nyingi heri na fanaka katika siku hii yenu. Click to expand... Siku ya wazee,siku ya wakina mama,siku ya mikono,siku ya figo,siku ya matiti,siku ya wajinga nk.,mpaka mwishowe siku ya .....Jamaa wanatuzuga tu,wala hatujui kinachoendelea.Kazi kweli kweli.