Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
SWALI LANGU ..mnapigaje marufuku uvutaji wa sigara huku viwanda bado vipo na vinafanya kazi au ndo mnaon kila mtu mtoto mdogo.uchunguzi unaonesha kuwa uvutaji wa sigara Tanzania ni wa huru zaidi ukilinganisha na nchi ya jirani ya kenya.
Tanzania watu wanavuta sigara hadharani, kwenye mikusanyiko ya watu, kumbi za starehe jambo ambalo ni hatari hata kwa wasiovuta sigara.
SWALI LANGU ..mnapigaje marufuku uvutaji wa sigara huku viwanda bado vipo na vinafanya kazi au ndo mnaon kila mtu mtoto mdogo.
kitu cha kuwekwa wazi. uvutaji wa bange umeharamisha ( thus wamezuia/ wamepiga mrufuku) why not cigarette?
Isipigwe marufuku bali ikomeshwe kama mnataka na mna nia ya dhati..... We unamwambia mtoto marufuku kutembea tembea huku unampa usafiri akueleweje?
Tumbaku hatari sana kwa afya ya binadamu bora itokomezwe
Leo ni siku ya kupiga marufuku matumizi ya tumbaku duniani.
Achana na tumbaku, kuboresha afya na mazingira bora uvute bange.
heading haijakaa sawa ni hivi shirika la afya duniani ndo liliweka may 31 iwe siku ya maadhimisho ya kutokutumia tumbaku duniani.
Wala hujakosea ndio maana kuna baadhi ya nchi hawaruhusu uvutaji wa sigara kwenye mikusanyiko ya watu na unaweza tozwa hata fainiserikali inabidi iweke sheria kali kuzuia matumizi ya sigara kwenye hadhara za watu hii ni kwasababu mtu asiyevuta sigara, akipata moshi wa sigara huathirika zaidi ukilinganisha na yule anayevuta.
Wala hujakosea ndio maana kuna baadhi ya nchi hawaruhusu uvutaji wa sigara kwenye mikusanyiko ya watu na unaweza tozwa hata faini