Zaman mtu akiolewa mpaka leo angekuwa bado analia. Saivi mpaka siku ya harusi mtu yupo jf. Hapo kwenye kufikisha ni matumaini yangu hautatuletea uzi mwingine ukilalamika hakufikishi kwa kilele.Mara hii ushaolewa?
Juzi Juzi tu tumekushauri au kitu cha mkeka???
Just for fun napita tu na hongera sana
Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.Zaman mtu akiolewa mpaka leo angekuwa bado analia. Saivi mpaka siku ya harusi mtu yupo jf. Hapo kwenye kufikisha ni matumaini yangu hautatuletea uzi mwingine ukilalamika hakufikishi kwa kilele.
Otherwise kila la kheri na karibu kwenye chama la ukweli lenye raha na karaha ambazo mwana FA bado hajazivulia nguo...
Vivac mambo vipiHv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,
Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.