10..... Kumbe JF ni blog??haya tuanze matusi...
1.kuifananisha leicester city na chelsea ni matusi kwa leicester city
2.kufananisha wanaume wa dar na wanaume wa mikoani ni matusi kwa wanaume wa dar..
3.kuwafananisha wakongwe wa jf na makapuku ni matusi kwa........
4.kuwafananisha diamond na kiba ni matusi kwa diamond
5.kufananisha gongo na bia ni matusi kwa bia
6.kumfananisha afande sele na jay z ni matusi kwa jay z
7.kumfananisha gigy money na nick minaj ni matusi kwa nick minaj
8.kufananisha somalia na afrika kusini ni matusi kwa somalia
9.kufananisha hummer h2 na noah ni matusi kwa hummer
10.kuifananisha jf na blog nyingine bongo ni matusi kwa jf
ongezeni matusi mengine
10..... Kumbe JF ni blog??
Kukifananisha kikojoleo cha kike na kinyeo ni tusi kwa kojoleo la kiumeni.
Nimemaliza
Here I am babes....Hahahahhaaa
Missed you sweet medicine.
Kasie.
Kumfananisha Kasie na yeyote yule ni tusi kwa anayefanya huo mlinganisho.
Kasie.
Here I am babes....
All yours!!!!
Tusi la nguoni au la mwilini?
Ngoja nifunike ndindindi nsije nkakukojoza hadharani Kasie wanguHahahahaaaa tusi ambalo akitukanwa badala ya kukasirika anafurahi na kusikilizia utamu...... hehehehe
Fukia mashimo on duty looh
Kasie.
Ngoja nifunike ndindindi nsije nkakukojoza hadharani Kasie wangu
Ewaaaaaa....Hahahahaaa mie sikojozwi atii babuu nikwambie Kasie na ubishi wake hakubali kukojozwa ila kukojozana na mpiganaji mwenzie aaah swaadaaktaaaa..... hehehehehehee
Wee funika tuu ndi...ndi....ndi..... isijefika 15 kama yao.....
Kasie.....
Ewaaaaaa....
Anza weweeee nami ntamalizaaaaa.... bora tusielewane vibaya.
Andaa mkojo huo Kassie.... wa huku unakaribia kujaza kibaba...