Sidhani kama kuna boxer kwenye ulimwengu wa sasa atakaeweza kumpiga Manny, hata mshindi wa Maywether Marquez hataweza! Huyu jamaa akitaka kupanda hata kwenye heavy weight atachukua mataji ya kina Kilitsichko.
I must say- Good prediction Nyani, lakini it was a suprise hata kwa wale ambao walitarajia kuwa Manny angeshinda kwa nockout kwa kuwa ilitokea rounds za mwanzo sana.Nadhani Hatton inabidi astaafu sasa, kipigo cha jana naamini kitamfanya asiwe hata na hamu ya kusogelea ukumbi wa ngumi.