PostGE2025 Leo ni Kumbukumbu ya siku ya maandamano makubwa ya Oktoba 29, 2025

PostGE2025 Leo ni Kumbukumbu ya siku ya maandamano makubwa ya Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Tarehe kama ya leo, Oktoba 29, 2025, inakumbukwa na Watanzania wengi kama siku ya maandamano makubwa yaliyotikisa taifa. Ni siku iliyobeba kumbukizi nzito kutokana na taarifa na madai kuhusu vifo na majeruhi wakati wa hatua za kukabiliana na waandamanaji. Leo tunawakumbuka wote waliopoteza maisha, pumzikeni kwa amani, na kwa majeruhi tunawaombea mpone haraka.
1764405469324.png
 
Samuya kaua makumi ya maelfu ya Watanganyika ili aendelee kuitawala Tanganyika kidhalimu, ila ajue kuwa damu hizi zitamtafuna yeye na vizazi vyake vyote, miaka 10 aliyokaa Ikulu bado hajaridhika hadi kumwaga damu za ndugu zetu.
Kuna stock.mpya dec 9
 
Tarehe kama ya leo, Oktoba 29, 2025, inakumbukwa na Watanzania wengi kama siku ya maandamano makubwa yaliyotikisa taifa. Ni siku iliyobeba kumbukizi nzito kutokana na taarifa na madai kuhusu vifo na majeruhi wakati wa hatua za kukabiliana na waandamanaji. Leo tunawakumbuka wote waliopoteza maisha, pumzikeni kwa amani, na kwa majeruhi tunawaombea mpone haraka.
View attachment 3509169
Kila mwezi ifikapo hii tarehe inatakiwa kuadhimishwa kwa maandamano dhidi ya ccm ...napendekeza hii tarehe iwe ni tarehe rasmi ya kupambana na wote wanao unga mkono CCM
 
Wenzenu walipigwa kete nyi mnacharaza keyboard humu
 
Hakika ilikuwa siku ngumu kuwahi kutokea. Ni moja ya siku tuliyoipoteza kama Taifa.
 
We will forever remember and cherish them for their sacrifice they made for bright future of this country.

Mungu aendelee kuwapunzisha kwa amani kwenye makazi yao ya milele.
 
YOUR THOUGHTS ARE INCOHERENT
IT IS A CATEGORY MISTAKE TO WEIGH IN A MATERIAL THING VS A HUMAN LIFE, YOU ARE EITHER INHUMAN OR ON THE VERGE OF A MENTAL BREAKDIWN, OR POSSESSION OF DEMONS.
Utakua unakaribia kuweuka kama sio tayar kwa kuelezea mali ambayo hauna, ingekua ni kitu cha kuongelea kwa wepesi ungekua tayar unazo the fact hauna hizo mali huna mandate ya kuongelea au kupima hata kidogo
 
Mali zote zilizoharibika ni zenye vinasaba vya ufisadi, mumeibia serikali na unategemea wanyonge waziache? Wamechoma mwendokasi ni mali ya serikali ambayo technically ni mali ya umma, kwani mwendokasi ni mali ya baba yako? Kwa nini hawakuchoma mali zangu!?
 
Mwenyezi Mungu awajalie pumziko la milele wale waliopoteza maisha yao kwa ajili ya kudai haki, wakawe mashahidi siku ya hukumu ile kuu. Daima tutawakumbuka kwa ushujaa wao kusimama dhidi ya udhalimu.
ALLAHU AKBAR
 
Back
Top Bottom