Usingizi ulikata kama saa tisa.
Kisa... Nilikuwa naota niko na shemeji yako, kuja kutahamaki , niko peke yangu.
Baada ya hapo nilienda kwenye library yangu na kuibua hii kitu
o k nimekusoma mkuu,kama vipi tafuta once upon a time in mexico imekaa kama muendelezo wa hiyo desperado na huyohuyo mtu mzima banderas. Kila la heri kiongozi.