Leo ni birthday ya mtoto wa mkulima

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Anapoadhimisha siku yake ya kuzaliwa, anapaswa kushughulikia matatizo ya watoto wengi wanaokufa wakati wa kuzaliwa kutokana na huduma hafifu za mama wajawazito na watoto, pia gharama ambazo wajawazito hawapaswi kulipia
 
Za leo waungwana jamvini ,leo nahoji hivi vitendo je vina paswa kuwepo kwenye bunge linaloamua hatima ya maisha ya watu waliloliweka wakiwa wanahitaji maslahi yao kwanza yapewe nafasi kabla ya wengine (wananchi ).

1)Tarehe 12/08/2011 wabunge walimuimbia bungeni mizengo pinda wimbo wa happy birthday .

2)mh komba kupiga usingizi bungeni



3)kufukuza wabunge kwa kukosa nidhamu ambazo ni one side party








4) Masihara ya kuzidi mfano kutangaza kuunda kamati za ufundi , kuitana majina yasiyorasmi 'sugu' badala ya mh joseph mbilinyi mara tyson
e.tc

JE BUNGE HILI NI LILILOWEKWA KUTATUA HAYA ?



TAFAKARI ?
 
mengine yes. ila la akina lisu kupiga kelele ovyo ovyo bungeni, no please. acha watolewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…