Wakuu msitetee na kuingiza mambo ya udini,mnaofanya hivyo mko desperate kulinda maslahi tu,lakini hamtafanikiwa.Kama unaikashifu dini ama imani ya member mwenzako kwa kutumia issue za kuifanya imani yako ndo ionekane bora kuliko za wenzako ndo mwanzo wa kudiscuss issue ambazo hazina msaada kwa taifa.
Wenye imani moja kuwaita wenzao wazinifu si sahihi kwasababu imani za watu ni tofauti,mtu ni mzinifu kwa kutumia vigezo vya dini yako.Hata hivyo mwingine anaweza kutumia vigezo vya dini yake kukuita na wewe "mzinifu"
Kwamfano mtu kama haamini uislam,basi anaweza kuchukulia mke zaidi ya mmoja kuwa uzinifu etc.Nashangazwa sana na watu ambao pia wanaingilia imani binafsi za watu na kwajudge against them.Kama tunategemea kupata viongozi wa Tanzania,udini unahusika vipi?ama falsafa ya serikali haina dini ni danganya toto
Nina imani kabisa kuwa wenye kuingiza dini kwenye mijadala ndo mafisadi,hilo naliamini toka kitambo na imani yangu haitayumba.