Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 2, 2012 #1 Jamani ninauza pilipili,kwa wahindi nitawauzia kwa bei nafuu kidogo ila polisi hasa siku ya leo nitawauzia bei kubwa,najua leo ijumaa watakuwa na uhitaji mkubwa.
Jamani ninauza pilipili,kwa wahindi nitawauzia kwa bei nafuu kidogo ila polisi hasa siku ya leo nitawauzia bei kubwa,najua leo ijumaa watakuwa na uhitaji mkubwa.
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 Nov 2, 2012 #2 Mimi nataka kichwa cha yule wakili anayeitwa kweka sijui anaishi wapi
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 2, 2012 Thread starter #3 Mzinga said: Mimi nataka kichwa cha yule wakili anayeitwa kweka sijui anaishi wapi Click to expand... haa! Hilo dili kubwa sana mzee nitaweza kweli?
Mzinga said: Mimi nataka kichwa cha yule wakili anayeitwa kweka sijui anaishi wapi Click to expand... haa! Hilo dili kubwa sana mzee nitaweza kweli?