Leo ndo ile siku kubwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,708
Reaction score
57,215
Leo ndo siku kubwa watu wengi Leo wataenda kufanya mabadiliko inawezekana kabisa wakina Nani uwe na ukaribu nao kuanzia kesho kaa kijanja.hatutaki gumzo tunataka kuanzia kesho tutafakari.hatutaki mapaparazi wengi tujitume kwenye huu uhuru maisha Ni safari.kitaani huku tunajua wengi Viongozi Ni wauza Sura Hali si shwari kumbuka kujituma ukiwa HURU.kesho tunafanya maamuzi.
 
Acha ujinga ww Chakubanga
 
Ndege JOHN,!!! hili jina siyo geni kwangu, ndo maana sichangae post zako!!! Huwa hueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…