Leo Ndio Unanitafuta...?

Leo Ndio Unanitafuta...?

Ndio, leo nimeona bora nikutafute kwa sababu wewe hata siku moja hujanitafuta...!

Hunipigii simu, hunitumii hata message, basi japo ungenipigia hata kuniomba japo pesa nikutumie ila wapi, hujanitafuta kabisa nikasema nikupigie leo, nimekaa nimekukumbuka that's why nikakupigia, kuna tatizo kwani...?
Unaonesha udhaifu man.
unamtaka kuliko anavyokutaka.
Kwa yeye anakuona unalia lia tu.
 
Back
Top Bottom