Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

Mkapa aliwaita malofa na mapumbavu. Ndio wamevaa. Huwezi kumzuia mtu uhuru wake na wewe vaa hata chupi yenye kinyesi kama ya mgombea wenu.

Hiyo chupi ni wewe uliifua ukakuta hicho kinyesi?
 
Kwahiyo hata taasisi zingine wasivae? Mf. Wanajeshi, wanafunzi n.k. Ni mtazamo wako ila mimi sioni kosa.

anaongelea kuleta mambo ya chama kwenye mambo ya kitaifa huelewi nini?
 
Kwa nini wanaccm wasitembee kifua mbele baada ya kumtoa panya kwenye kibuyu??

Mbona kwenye misiba mnavaa magwanda hatusemi.
 
Sasa hapo wanasafisha au wanachafua....???
 

Umenena mkuu
 
Wewe ulikuwa huwajui.Wengi wao IQ ndogo.
 
Wazo langu naona kama una kajipu uchungu kana kuwasha. Eee sore kana kuuma subiri doctori akitie disprini katapoa mkuu vumilia.
 
Ulimbukeni ni sera ya CCM. Hawajui ni lini wavae marangi yao ya kijani. Hata rais akiwa anatembelea mahali utawaona na marangi yao hayo. Hawawezi kutofautisha serikali na chama.

Hata wagombea wa CDM huwa wanavaa "MAGWANDA" kwene shughuli za kujenga taifa..nao ni ulimbukeni?
 
Kwahiyo hata taasisi zingine wasivae? Mf. Wanajeshi, wanafunzi n.k. Ni mtazamo wako ila mimi sioni kosa.

Hivi wewe umeingiaje huku?uniform za polisi au wanajeshi zina faida kwa wananchi kuliko za ccm au chama chochote kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…