Safi sana mwamba Kwa kufight Kwa ajili ya big Mom,,,R.I.P MOMFanya jaribio dogo tu leo.....weka elf 30 kwenye simu mpesa.....kisha elf 5 mtumie mama yako....then elf 25 mtumie demu (hawara/mpenz) wako..kisha subiri respond.
Mama......,utasikia asante sana mwanangu nilikuwa sina sukari hii itanitosha kupata kilooja, mungu akubariki sana.
Demu lako.......na ww hii ndio hela gani? Hela yenyewe hata kununua dawa ya kuoshea nywele haitoshi, mm mwanamke kunitunza ni gharama, ubahili wako mm naona utanishinda.
Hebu kma una hela tumia mzazi wako hasa mama....achana na mikei pasua kichwa haina shukrani.....R.I. P MY MOM, NAJUA NILIJITAHID KUKUNJUA MKONO WANGU KWAKO. SORRY KM NILIKUKWAZA..... I LOVE YOU MOM
Ok....
Baada ya X kufanya yake wakati mimi sijui, ghafla nilianza kupata PM kadhaa kutoka kwa wadau humu jf wakiniuliza kulikoni.
Wakati huo pia nilipata msukosuko mkubwa na huyu mdada mpya huku akinitumia shutuma nyingi sana.
Hapo nilibaki kati na nikaamua kunyamaza na kukata mawasiliano kwa new girl na X.
Kwambaali nikaanza kushuhudia minyukano ya wawili hawa humu jf, new girl akiwa mzuri kwa hoja na X akiwa mtu wa kupopoa maneno ya hovyo.
Hapo nilijiweka pembeni zaidi ya sana huku nikiwa tazama kwambaaaali... na nikiendelea kuwapuuza kwasababu wote walikua wakishutumiana kupitia kwangu.
New girl aliamua kukata mawasiliano na mimi kabisa, huku X akizidi kupigana kufa na kupona kwamba mahusiano yake yamevunjwa na NG, hata nilipokua nikimueleza wazi kwamba simpendi tena jibulake lilikua ni kwamba kwakua nipo na NG.
Mwisho nae niliamua kupuuza.
Baada ya muda flani kupita huku nikishudia X akim quote NG humu jf kwa crushed comments... Ghafla nilipata msg kutoka kwa NG... huku akinishutumu kwa mambo mengi mabaya ambayo kwa hakika siku yafanya na sikuhusika.
Kumbe X alitengeneza picha chafu za NG kwa kushirikiana na X boy wa huyu NG. Na sijui waliweza pata mawasiliano wapi hata wakaanza kuwasiliana, kwakweli yule jamaa x boy wa NG wangu alimueleza X wangu mambo mengi sana ambayo ni past za NG.
Amahakika kweli kua uyaone.
Lengo lilikua ni kumchafua na hapo X Boy wa NG wangu pia akapata kushawishika kwamba mimi ndie nilie sababisha waka achana
Poa anza kuwapa live sasa halafu nimuone anayekugusaNajua utanitetea ndio. Vinginevyo nisingethubutu
Ukiwa na boyfriend ambaye ni Mwanaume wa Dar uwe mvumilivu!Jamani sio kila jambo muwe mnachangia.
Nilivyomuelewa mtoa mada anatoa yake ya moyoni na kuweka mambo sawa.
Ni wapi alikosema anataka ushauri?
Aaaarrrggghhhh mnakera bwana na huo wimbo wenu wa wanaume Dar.
Nimepita kule kuangalia kama umenitaja yaani nimechokaaaaUsijali ma, Mungu ni mwema. .utamaliza tu salama
Mkuu wewe kubali tu Ulikuwa BUZI
Kwanza uko nje ya Bongo.
Pili kazi yako ilikuwa kwenda Westen Union.
Halafu huyo Demu alikuwa babyyyyy nyingiii Na of course zisizo isha.
Mimi nakaribia kupona Na hayo maumivu ya moyo ingawa niko hapa Dom kijijini.
Vumilia tu.
Chezea!! Watanunaje sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Poa anza kuwapa live sasa halafu nimuone anayekugusa
Hahaha....usiogope nipo hapaChezea!! Watanunaje sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aaaah hamna mtu alokuletea parcel ofisini kwako? Afu naona tu unavyomfukuzia nanhii ooohNimepita kule kuangalia kama umenitaja yaani nimechokaaaa
daaa...ngoma ndo imeisha na majina hayajatajwa!!nimeambulia X na NG tu
Napata pata kapicha, nadhani matusi yamefika mpk blog moja machachari kwa michambo na umbea
Hapana Ahsante na sijatoka kabisa leo...hahah nanhii yupi labda namfukuzia ili uone wivu bado umegomaAaaah hamna mtu alokuletea parcel ofisini kwako? Afu naona tu unavyomfukuzia nanhii oooh
Kwahiyo mkuu siku hizi hubebi box? Au @ushiboy hubebi box huko uliko? mbona Nyani Ngabu anakukana??Hata sielewi kabisa unachokiongelea!
Mimi nahusikaje na huyo jamaa?
Aisee pole jipange upya sio x wala NG......x anaona msaada anaopata wa kusomeshewa watoto 2 unayoyoma inabidi apambane.......binadamu hujifunza kutokana na makosa
Mkuu....Mkuu wewe kubali tu Ulikuwa BUZI
Kwanza uko nje ya Bongo.
Pili kazi yako ilikuwa kwenda Westen Union.
Halafu huyo Demu alikuwa babyyyyy nyingiii Na of course zisizo isha.
Mimi nakaribia kupona Na hayo maumivu ya moyo ingawa niko hapa Dom kijijini.
Vumilia tu.
Mmh how come parcel haijafika!! mmh figisu figisu hadi ufilipinoni khaaa. We jikute tu unanitia wivu, utakuta nishasepa mbele. Nakuangalia tu afu nakuonea huruma teh[emoji23] [emoji23]Hapana Ahsante na sijatoka kabisa leo...hahah nanhii yupi labda namfukuzia ili uone wivu bado umegoma
Sasa msaidie jamaa ujumbe ufike kwa huyo bibie basiHahaha....usiogope nipo hapa