Duuuh aisee umenifanya niwe mpoleHapo ukimwi huwezi kupata Ila HIV kuipata ni lazima.. Pole sanaaaaa
Sawa mkuu maana mwenyewe ananiambia yeye yuko poa labda mm tu
Safi Sana usiwe mtundu tenaDuuuh aisee umenifanya niwe mpole
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Sasa naipata HIV bila michubuko
Ukimwi ndiounapatikana kwa mchubuko Ila HIV inapatikana kwa njia ya kufanya mapenziSasa naipata HIV bila michubuko
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
ha ha ha ha ha yaani kufanya mapenzi oky je HIV ni uginjwa wa nini Damu au na je unaambikizwa kwa njia ya maji maji kama UTI au kwa njia ya damuUkimwi ndiounapatikana kwa mchubuko Ila HIV inapatikana kwa njia ya kufanya mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina maana labda uifafanue ieleqeke
Icho.ni.kimakonde au kimatumbi
ARVs hizo mkuuIcho.ni.kimakonde au kimatumbi
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya