Wanafurahia Nape kumshambulia Magufuli utadhani hilo linawapa credit kwa watanzania. Ni kama Lissu alivyoanzaga kumshambulia Nyerere wakati fulani, tukakangalia kale kamtu kanavyoshambulia baba wa taifa tukakadharau kimya kimya.Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?
Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?
Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?
Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.
Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Acha kuhangaika kutetea legacy ya mtu hovyo kama yuleKama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?
Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?
Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?
Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.
Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
🤣Mtu akiteuliwa anabaki kuwa mpinzani?
Ukiingia twitter ni matusi na porojo tu vijana wapya wenye akili hawajiungi
na chadema sku hizi ndio maana akiondoka mtu hamna wakuziba pengo
Kichwa majiHao hufuata mdundiko kazi ni kudandia ajenda!
ndiye Chawa na mnafiki,Kwani ubaya wa Nape kutaka uchunguzi wa hiyo mikopo na matumizi yake upo wapi?
Kwanini asihoji matumizi na thamani ya miradi iliyofanyika?
Wacheni huo unafiki wenu kisa legacy,hakuna legacy ya kulazimisha hapa duniani.
Wewe ndio kijakazi wa Nnape sio?Ninacho kiona kwenye post yako ni muendelezo wa kulazimisha Magu asihojiwe kwa aliyo yafanya.
Ninacho amini ni kuwa hakuna binadamu aliye kamilika kwa 100%.
Sasa nyinyi mnapata wapi ujasili wa kumfananisha huyo mtu wenu na malaika?
Zilipigwa 1.5trillion hamkusema chochote utadhani midomo yenu imepigwa daflao.
Muwacheni mh Nape ateme nyongo zake.
Sasa ndiyo amehoji ukitaka kajinyongeWewe
ndiye Chawa na mnafiki,
Miaka yote mitano ya MAGUFULI alikuwa wapi asihoji?
Tatizo lako umetawaliwa na mihemuko.Wewe ndio kijakazi wa Nnape sio?
Kwanini iwe sasa na sio wakati matendo yanafanyika?
Unamhoji mfu atakujibu kitu gani?
Kwanini usimhoji raisi wa sasa, makamu wake na waziri mkuu ambao ndio walikuwa sehemu ya utawala huo huo?
"Biased questioning without moral authority"
Piga glass ya limao na ukajifukize labda hasira na kisirani kitapunguaWewe ndio kijakazi wa Nnape sio?
Kwanini iwe sasa na sio wakati matendo yanafanyika?
Unamhoji mfu atakujibu kitu gani?
Kwanini usimhoji raisi wa sasa, makamu wake na waziri mkuu ambao ndio walikuwa sehemu ya utawala huo huo?
"Biased questioning without moral authority"
Wewe ni punguani unashabikia kitu usichokijua....pilipili usiyoila inakuwashia nini? Tayari umetamka mwendazake ni nani huyo?Piga glass ya limao na ukajifukize labda hasira na kisirani kitapungua
Mmeanza nyinyi kuangamia tayariWewe ni punguani unashabikia kitu usichokijua....pilipili usiyoila inakuwashia nini? Tayari umetamka mwendazake ni nani huyo?
Usiendelee kuleta ujinga wenu mtaangamia ohooh
CHADEMA TWENDE NA NAPE 2025Nape kapiga kwenye mshono wa sukuma gang ambao bado kidonda bado hakijapona dadeeeeki
Nenda naye nyumbani kwako na mkabidhi mkeoCHADEMA TWENDE NA NAPE 2025
Siumesema nape nishujaa. Umemgeuka tenaaaNenda naye nyumbani kwako na mkabidhi mkeo
Ni kweli Sabaya hakuwahi kuwa mnafiki!Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?