Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,269
- 23,086
Kwani ubaya wa Nape kutaka uchunguzi wa hiyo mikopo na matumizi yake upo wapi?Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?
Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?
Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?
Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.
Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Mjinga ni wewe unayetetea maovu ya mwendazake na kwa taarifa tu ni kwamba tayari taratibu zimeanza kuandaliwa ili tume ianze kuchunguza mikopo yote aliyo ichukua na value for money kwenye miradi.Jinga sana yule hana lolote. Tukisema tuichunguze ccm na serikali yake wakati wa msoga gang na yeye akiwa itikadi na uenezi kuna atakayebaki? Au hajui kwamba watu tumefunika kombe ili mwanaharamu apite?! Jinga kabisa huyo.
Nape kapiga kwenye mshono wa sukuma gang ambao bado kidonda bado hakijapona dadeeeekiNapee nimesha mpuuza toka akiwa katibu mweneziii
Nape kapiga kwenye mshono wa sukuma gang.Hao hufuata mdundiko kazi ni kudandia ajenda!
kuna ubaya gani kutaka kufahamu fedha fulani zilitumikaje ni moja ya kazi ya wabunge kuhoji ili kujiridhishaKama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?
Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?
Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?
Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.
Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
Wanaufipa saivi wamekuwa wadandia hoja na matusi,Nape kapiga kwenye mshono wa sukuma gang.
Kama ni kuishiwa watu smart basi ni ccm ndiyo wamebakia na makapi tupu ndiyo maana hata viongozi wanalazimika kuwateua wapinzani ili kwenda kuokoa jahazi.Wanaufipa saivi wamemkuwa wadandia hoja na matusi,
Sijui wameishiwa watu smart sijui.
Mtu akiteuliwa anabaki kuwa mpinzani?Kama ni kuishiwa watu smart basi ni ccm ndiyo wamebakia na makapi tupu ndiyo maana hata viongozi wanalazimika kuwateua wapinzani ili kwenda kuokoa jahazi.
Nape ilimbidi tu aombe "msamaha" kwa shingo upande ili kunusuru maisha yake kwenye utawala wa kidikteta.Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?
Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu unafiki wa Nape mpaka leo wapinzani hawajifunza?
Si kila anayemshambulia Magufuli leo ni Mzalendo. Muulizeni Alikighu? Alikwii? Alikuwa wapi? Wakati ninyi mnapinga mambo mbalimbali yeye alifanya nini? Huyu si ndo alienda kuomba msamaha huku akicheka cheka ili abaki na Ubunge? Na kuwaponda wenzie kwa Magufuli?
Leo anaupiga mwingi? Si lazima kila sehemu mtie mkono mambo mengine mngeyaacha tu. Mimi nimejikuta sasa namwelewa Magufuli kuliko hata zamani. Hawa watu wanafiki ni wabaya kuliko hata akina sabaya ambao walijipambanua mapema wao ni watu wa namna gani.
Shauri zenu. Kuna siku Nape ataongea tena maneno mtamshukia kama Kipanga.
PumbafMtu akiteuliwa anabaki kuwa mpinzani?
Ukiingia twitter ni matusi na porojo tu vijana wapya wenye akili hawajiungi
na chadema sku hizi ndio maana akiondoka mtu hamna wakuziba pengo
Kunguru muoga daima ukimbiza bawa lake vinginevyo bawa litakatwaNape ilimbidi tu aombe "msamaha" kwa shingo upande ili kunusuru maisha yake kwenye utawala wa kidikteta.
Hilo naliskia kila sikuPumbaf
Mke wake alisifiwa pia nakumbuka.Nape ilimbidi tu aombe "msamaha" kwa shingo upande ili kunusuru maisha yake kwenye utawala wa kidikteta.
Angem....... kama ni mweupeMke wake alisifiwa pia nakumbuka.
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?