Maranzana
Senior Member
- Sep 1, 2010
- 192
- 97
Hujacheka leo. Hebu cheka kidogo tu sio sana.
UBAHILI NOMA! Ndani ya meli wa2 makabila tofauti walikua na mizigo, meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe, Mzungu akatupa computer, akasema kwe2 zpo tele,
Mchina akatupa box la cmu akasema kwetu zipo tele" Mmasai akatupa Ng'ombe akasema hizi zipo kibao kwetu.
Mchaga anahaha hajui atupe nn kila kitu chake anakionea uchungu ghafla alimtumbukiza Mmasai kwenye maji akasema Yesu na maria hawa wapo tele ARUSHA