Leo naitwa kaka?

Sasa ulitaka akutambulishe kama nani?!Mpenzi?!

Kaachwa na bado anatafuta heshima...teh teh!!!

Alitaka aitwe eksi ili ajichukulie misifa kuwa naye alipita hapo....

Watu kama hawa ndio mimi hupenda kuwaita wavulana au korodani teketeke...
 

Asante. Nimeukubali ushauri.
 
Wewe Sasa unakaribia kuhemewa, angalia anakujua huyo....
 
Kaa mbali nao. Tamaa itakuponza,huo ukaka utaisha na unaweza ukageuzwa mke mwenzake plus umaarufu wa picha za whatsapp utakuhusu!
 
Hata kwenye harusi hakukuona ushauri wa watu hapo juu ni mzuri kachukua no yako akaulize ndugu wa karibu waachie ugomvi wao mke na mume kaa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…