We kichwa chako kinawaza mbunye tu umepewa namba ila unawaza mbunye
ipo siku utakuja kutegwa na maswali yanayohusu ukoo wa mkeo hapo ndipo utakapoisoma namba...
Na atakuja kukuuliza sku ukiwa ndani kwake hapo ndipo ujiandae kupumuliwa kisogon
Mwanamke akishasema byeeeeeee............ hujue no mbunye kaka
Mwanamke wa wapi huyo?
Sasa ulitaka akutambulishe kama nani?!Mpenzi?!
Demu wangu wa zamani ambaye tuliachana miaka 4 iliyopita,mwaka jana aliolewa.
Leo asubuhi nimekutana naye akiwa na mumewe, cha kushangaza akanitambulisha kwa mumewe kuwa mimi ni kaka yake.
Jamaa akachukua namba yangu,nakunisisitizia nisiache kwenda kwake kusalimia.
Huyo bwana ni mtu wa kusafiri safiri sana na magari makubwa (zambia,congo au rwanda).
Sasa najiuliza, siku nikienda kuwajulia hali alaf jamaa nisimkute, je demu wangu huyo wa zamani ataendelea kuwa dada?
Je ni sawa kunitambulisha kuwa mimi kaka yake?
Je wewe uko tayari kuambiwa ukweli au kudanganya?
Haiwezekani, anataka mvunje amri ya sitaje demu wangu huyo wa zamani ataendelea kuwa dada?
Amekosea sana na wala usijaribu kuwatembeleaJe ni sawa kunitambulisha kuwa mimi kaka yake?
Kwanini kudanganya tena hapo!Je wewe uko tayari kuambiwa ukweli au kudanganya?