KELVIN GASPER JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,066 Reaction score 454 Aug 13, 2012 #1 Mabomba katika manispaa ya tabora yanatoa maji mithili ya supu ya utumbo ambao haukukamuliwa. mlioko manispaa hii najua mtaniunga mkono.
Mabomba katika manispaa ya tabora yanatoa maji mithili ya supu ya utumbo ambao haukukamuliwa. mlioko manispaa hii najua mtaniunga mkono.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Aug 13, 2012 #2 Endeleeni kuvumilia, mlipewa nafasi ya kuyabadili hayo yote twenty ten mkaamua kumpa Msomali anayeishi Dar, hayo matatizo yenu atayaelewa vipi?
Endeleeni kuvumilia, mlipewa nafasi ya kuyabadili hayo yote twenty ten mkaamua kumpa Msomali anayeishi Dar, hayo matatizo yenu atayaelewa vipi?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Aug 13, 2012 #3 Genecius Kaiza said: Endeleeni kuvumilia, mlipewa nafasi ya kuyabadili hayo yote twenty ten mkaamua kumpa Msomali anayeishi Dar, hayo matatizo yenu atayaelewa vipi? Click to expand... sio dar tu kaachana na bunge kisa mbuyu facebook kumsajili...
Genecius Kaiza said: Endeleeni kuvumilia, mlipewa nafasi ya kuyabadili hayo yote twenty ten mkaamua kumpa Msomali anayeishi Dar, hayo matatizo yenu atayaelewa vipi? Click to expand... sio dar tu kaachana na bunge kisa mbuyu facebook kumsajili...