Leo kwenye pantoni

Sanaaaa!! Sema wana wivu hatari. Ukikamatwa ukicheat basi kwaheri. Usije ukahangaika hata kuomba msamaha we tembea tu
Hahaha daah mkuu mpira pass hebu nipe pass moja ya ushindi mkuu
 
kuna nini hapo sasa na ni nani kakuruhusu kuweka picha ya huyu binti hapa ?kalisa mwenzio kashakamatwa na polisi kwa kuweka picha za wema mitandaoni shauri yako
Kweli kabisa ....ni mchezo mbaya sana sana. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…