Shukrani sana Mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa.. Pia kuna hii [emoji116]sembo umesahau pia yanga alikaa miaka 8 mfululizo ktk ligi kuu bila kumfunga simba (2000-2008) hadi pale ben mwalala alipowaokoa taifa...
Wahenga walishawahi kunena;
"If you don't know history, then you don't know anything. You are a leaf that doesn't know it is part of a tree."
Wanamsimbazi wenzangu, hebu tukumbushane baaadhi ya kumbukumbu mujarabu, ili tusiwe kama jani walilokua wanalizungumzia wahenga.
LiGI KUU.
1. Miaka 39, Siku 15 zilizopita [July 19, 1977]!!
Simba S.C v Yanga S.C 6-0
WAFUNGAJI:
SIMBA; Abdallah King Kibadeni Mputa dk. 10, 42 na 89 [hii rekodi yake haijavunjwa mpaka sasa], Jumanne Hassan 'Masimenti' dk. 60 na 73.
YANGA; Selemani Sanga alijifunga dk. 20.
2. Miaka 22, Siku 31 zilizopita [July 2, 1994]!!
Simba S.C v Yanga S.C 4-1
WAFUNGAJI:
SIMBA: George Magere Masatu, Athumani China, Madaraka Selemani "Mzee wa Kiminyio" na Dua Saidi.
YANGA; Constantine Kimanda.
3. Miaka 4, Siku 84 tu zilizopita [May 6, 2012]
Simba S.C v Yanga S.C 5-0
WAFUNGAJI:
SIMBA: Emmanuel Anorld Okwi dk 1 na 52, Felix Sunzu dk 47, Juma Kaseja dk 66 na Patrick Mutesa Mafisango dk 73.
BONUS: KOMBE LA TUSKER.
Miaka 12, Siku 125 zilizopita [March 31, 2002]!!
Simba S.C Vs Yanga S.C 4-1
WAFUNGAJI:
SIMBA: Mark Sirengo dk. 3 na 76, Madaraka Selemani dk. 32 na Emanuel Gabriel dk. 83.
YANGA: Sekilojo Chambua dk 16.
NB: Katika mechi hii, Mtani nusura aweke mpira kwapani na hii ni baada ya Madaraka Selemani "Mzee wa Kiminyio" kupachika goli maridadi kabisa kuwahi kushuhudiwa katika Uwanja wa Uhuru, na hii ilikua ni dk. ya 32.
Japo katika miaka 4 iliyopita, Mnyama katetereka kweli kweli.. ila Historia haioneshi kama alishawahi kuadhibiwa kwa vipigo vizito kama huyo "Jamaa".
Naimani Msimu huu "ni zamu yetu'' tunaenda kuongeza kumbukumbu nyingine "mujarabu" katika vitabu vyetu vya HISTORIA.
Samahani Mkuu, hapa nazungumzia historia "mujarabu"!!Asante sana kwa historia ila hii hapo chini vipi au haituhusu?
View attachment 375534
Ilikua mwaka 1992 kwenye ligi ya Muungano wa mchangani hawakurudi uwanjani kipindi cha pili kwani walijua zitakua nyingi alikua kishapigwa goli mbili kwa kamoja kao.Vile vile kuna mwaka half time mkakataa kurudi uwanjani nayo pia muiweke katika kumbukumbu zenu.
na nyie je 2010 pale taifa hamkuleta tim kabisaUsizungumzie historia tu,na leo mmechapwa kagoli kamoja huko Morogoro na timu ya Manispaa ya Kinondoni(KMC FC) mpaka mkataka kupigana,ongeza ni na hiyo kwenye historia ya mwakani
Ilikua mwaka 1992 kwenye ligi ya Muungano wa mchangani hawakurudi uwanjani kipindi cha pili kwani walijua zitakua nyingi alikua kishapigwa goli mbili kwa kamoja kao.
.
Si afadhali sisi hatukuja kabisa,kuliko nyie mmekuja mmepigwa mkaweka mpira kwapani, hakuna jambo la aibu kwenye mpira kama kuweka mpira kwapani,na bado mtapigwa sana msimu ujao,umesikia ya Moro lakini? pole mzee mzima.na nyie je 2010 pale taifa hamkuleta tim kabisa
Mkuu nikienda kuishi Maracana nitashindwa kumshudia Mnyama.. Ngoja tupambane hapa hapa.
Shukran kwa kujazia nyama sembo nadhani aliisahau hii natumaini ataiweka pia.Usizungumzie historia tu,na leo mmechapwa kagoli kamoja huko Morogoro na timu ya Manispaa ya Kinondoni(KMC FC) mpaka mkataka kupigana,ongeza ni na hiyo kwenye historia ya mwakani
Ilikua mwaka 1992 kwenye ligi ya Muungano wa mchangani hawakurudi uwanjani kipindi cha pili kwani walijua zitakua nyingi alikua kishapigwa goli mbili kwa kamoja kao.
.