eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Ndio maana yake hawa hawatumiagi vita sanaKwa maelezo haya basi Utawala wa Papa ulianza kirahisi sana!!..
Hapana mkuu historia ya dola ya Papa haijaweza survive mpaka sasa kiurahisi namna hiyo!.. Zile crusade wars zote zilikuwa kwa maslahi ya ukristo na kusimika nguvu ya Papa. Kuuwawa kwa Galileo kulikuwa ni kupingana na msimamo wa kanisa!.. Watu kuuwawa kwa ajiri ya kukutwa wana miliki biblia ilikuwa ni kuhakikisha nguvu ya kanisa inabaki. Historia ya Papa ni kubwa sana. Kama mkatoliki unaweza kwenda duka la kanisani omba kakitabu fulani kadogo kanaitwa "PAPA NI NANI?" au "MJUE PAPA".. (nimesahau title).Ndio maana yake hawa hawatumiagi vita sana
Ni washawishi wakubwa kwa mdomo tu na wanaeleweka mkuu
Sio kweli ila kiuhalisia hawa ni watu wenye ushawishi mkubwa mno kwa kutumia mdomoHapana mkuu historia ya dola ya Papa haijaweza survive mpaka sasa kiurahisi namna hiyo!.. Zile crusade wars zote zilikuwa kwa maslahi ya ukristo na kusimika nguvu ya Papa. Kuuwawa kwa Galileo kulikuwa ni kupingana na msimamo wa kanisa!.. Watu kuuwawa kwa ajiri ya kukutwa wana miliki biblia ilikuwa ni kuhakikisha nguvu ya kanisa inabaki. Historia ya Papa ni kubwa sana. Kama mkatoliki unaweza kwenda duka la kanisani omba kakitabu fulani kadogo kanaitwa "PAPA NI NANI?" au "MJUE PAPA".. (nimesahau title).
Katoliki tumepitia mengi mpaka leo hii unaona tunaheshimika na Papa wetu!..Amina.
Hiki ulichoandika hapa ni stori za wabaya wa hili kanisa tu ila hazina ukweli wowoteHapana mkuu historia ya dola ya Papa haijaweza survive mpaka sasa kiurahisi namna hiyo!.. Zile crusade wars zote zilikuwa kwa maslahi ya ukristo na kusimika nguvu ya Papa. Kuuwawa kwa Galileo kulikuwa ni kupingana na msimamo wa kanisa!.. Watu kuuwawa kwa ajiri ya kukutwa wana miliki biblia ilikuwa ni kuhakikisha nguvu ya kanisa inabaki. Historia ya Papa ni kubwa sana. Kama mkatoliki unaweza kwenda duka la kanisani omba kakitabu fulani kadogo kanaitwa "PAPA NI NANI?" au "MJUE PAPA".. (nimesahau title).
Katoliki tumepitia mengi mpaka leo hii unaona tunaheshimika na Papa wetu!..Amina.
Hiki ulichoandika hapa ni stori za wabaya wa hili kanisa tu ila hazina ukweli wowote
....Hasa WAJESUIT...KWa kifupi wakatoliki tuna akili sana.
Kwani wao ninani mpaka wawe na akili kuliko wengineKWa kifupi wakatoliki tuna akili sana.
Hili ni shirika ambalo linahusika sana na elimu kwa jamii za mijini....Hasa WAJESUIT...
Nilichokiandika nusu yake kimeandikwa kwenye kitabu hicho nilichokwambia!!..Mimi ni Mkatoliki na nilikinunua hicho kitabu sasa unataka nikuaminishe vipi!, wakati kanisa lenyewe tunakubali maovu tuliyowahi kufanya na wahusika wakiwa mapapa!.. Hebu kitafute hicho kitabu kwenye duka la kanisa Katoliki sio mtaani!..Hiki ulichoandika hapa ni stori za wabaya wa hili kanisa tu ila hazina ukweli wowote
Kwani wao ninani mpaka wawe na akili kuliko wengine
Wao husaidia sana watu wasiojiweza na wanajikuta wakipendwa tu na watu
Nchi zenye vita kama pakistani, afghanistan, iraq, siria, palestina zinapokea sana misaada mikubwa kutoka kwa hili kanisa huku misaada yao ikilenga watoto wanawake na vijana walioathirika na vita
Hili ni shirika ambalo linahusika sana na elimu kwa jamii za mijini
Maana mkisikia wajesuit mnashindwa kuelewa
Mkuu Eden acha ubishi mm ni mkatoriki nakubali hilo, mapadri wanakili hilo.. Labda hujui histori ya RC, Mkuuu kanisa katoriki limepitia vpind vitatu ambavyo ni..Hiki ulichoandika hapa ni stori za wabaya wa hili kanisa tu ila hazina ukweli wowote
Anaongea kwa ushabiki huku hajui kituNilichokiandika nusu yake kimeandikwa kwenye kitabu hicho nilichokwambia!!..Mimi ni Mkatoliki na nilikinunua hicho kitabu sasa unataka nikuaminishe vipi!, wakati kanisa lenyewe tunakubali maovu tuliyowahi kufanya na wahusika wakiwa mapapa!.. Hebu kitafute hicho kitabu kwenye duka la kanisa Katoliki sio mtaani!..
Usione aibu kukubali tulifanya madhambi huko nyuma, ni kitu cha kawaida kilitokea kwa ajiri ya kuja onyesha kizazi hiki maovu hayakuwahi saidia!.
Huwa napendezwa na ukweli ulio uchi/usiopindishwaMkuu Eden acha ubishi mm ni mkatoriki nakubali hilo, mapadri wanakili hilo.. Labda hujui histori ya RC, Mkuuu kanisa katoriki limepitia vpind vitatu ambavyo ni..
Kanisa linaloteseka/ lililoteseka
Hiki ni kipindi ambapo kanisa lilidhurumiwa hususani katika karne zake za mwanzo.
Kanisa lililokuwa linatesa/linadulumu
Hiki kilikuwa ni kipindi ambapo lilikuwa linatoa adhabu kwa mtu yeyote aliyepotosha mafundisho ya Kanisa au aliyefundisha kinyume na mafundisho ya Kanisa. Lilikuwa linaua na kudhani kuwamba Mungu anafurahia vitendo hivyo. Lilidhani Mungu anahitaji kutetewa na binadamu
Lakini lilifanya hivyo ili kulinda mafundisho na imani sahihi ya Kanisa,
Ni katika kipindi hiki, cha pili ambacho Kanisa limekipitia, ndipo hao wenzetu waliotambuliwa kkuwa ni wazushi walikabiliwa na mateso hayo ambayo yalisimamiwa na Kanisa kwa lengo la kulinda imani yake. Hivyo mateso hayo waliyoyapata katika kipindi hicho ni adhabu sahihi waliyostahili kwa sababu walionekana kuwa walizusha mafundisho ya uongo yanayopingana na mafundisho sahihi ya Kanisa.
nyakati za maaganzo mapya.
Baada ya kufanya mambo kama hayo yliyofanika katika kipindi cha pili, kanisa ilipata ufunuo zaidi likagundua kuwa mambo hayo ya mateso yalikuwa ni mawazo batili ya binadamu mwenyewe. Liligundua kuwa Mungu wa amani na Baba wa watu wote hapendi vita au madhulumu. Basi likaachana na mambo hayo ya mateso dhidi ya watu waliopotosha mafundisho sahihi ya kanisa.