Leo Jumapili mume amerudi hii asubuhi ni haki nimpe chai na nisimuulize anatoka wapi?

Ndio espy, vitasa. Unless uikatae ndoa yenye manyanyaso utoke, otherwise kuna wanaume mabandidu.
Na wa hivyo wanawapataga wanawake duwanzi kweli, anapigwa yumo tu, anatiwa kilema yumo tu, wengine hadi wanauawa.
 
Umeniuzi Sana Leo Sky!! Kumbe umeolewa kabisa daaaaaah! Hakuna mtu ananipa pressure hapa JF kama wewe, kweli chelewa chelewa ukute mwana si wako. Nilikua nakumendea Hatareee!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mtiririko unavyoenda kila mtu hatouliza ila kiuhalisia aunt yake hata uwe na moyo wa namna gani kuuliza muhimu.

Hiyo chai itafuata aisee.
Mimi chai obviously ataikuta mezani as familia lazima inywe chai, ni juu yake kunywa au kutokunywa. Baada ya hapo ntakula buyu kidogo nikisubiri maelezo yake, akijifanya bubu namfuata tu tuelezane vizuri. Dukuduku sio zuri kwa afya, I can't let it slide milele weeee
 
Kwakweli haishikiki, unaweza jikuta unaibamiza ukutani kama vile ndio ilorudi asubuhi.
Unaonaje akimpa hiyo chai na asimuulize swali la umetoka wapi na badala yake azungumzie taabu aliyoipata katika kumsubiri na kujiuliza kapatikana na janga gani, kwa njia hiyo huyo mume atasema mwenyewe bila shaka alikuwa wapi. Different approach same result. Ushauri wa baba kwa mtoto.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom