Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

Yani huyu dogo ni kinafiki mpaka kimebadilika sura.

Kimekaa kama vile vbiumbe vya kwenye sayari
 
Wakuu, Humphrey yule yule ambaye wadau wa UKAWA humu jamvini wamemwagia sifa kedekede leo kuwa wanaimani naye anauliza. Sasa tusubiri mbowe na Mbatia watoe majibu.

Update :
Awaita viongozi wa UKAWA wanasiasa Uchwara kabisa.

Anasema kiongozi wa taifa anapaswa awe juu ya tuhuma. Anayetuhumiwa hafai kuwa kiongozi.

Anasema sasa kuna CHADEMA mbili, watake wasitake. Kuna CHADEMA wenyeji na CHADEMA wageni
Kumbuka pia Yesu alioneshwa miliki ya dunia na shetani.ccm uroho wa madaraka ndo unawasumbua
 
Kamepoteaa...... haka kajamaaa ndo kamepotea kabisa. Hakatapata tena popularity. Katiba ilimbeba kumbe hakajui siasa kabisa
 
nakukubali maana ulisema akuchngulia fisadi utasimama kidete kuwambia watanzania ukweli kuwa wasimchague, kazi imeanza tuko wote ,endelea kusimamia msimamo wako siasa za kinafiki zimechosha,
mimi binafsi kwa kupinga ufisadi nakukubali maana najua utalichana baba lao waziwazi hata lilipo
 
Alipoolizwa kosa lake lingine ni lipi nje ya issue ya richmond akajikanyaga na kusema 1995 nyerere alimkataa na kumpitisha Mkapa. Hapa mi sijamuelewa maana nilidhani atatoa tuhuma hasa. Muhuni huyu

Huyo ni mccm hakuna jipya apo
 
Huyu jamaa kumbe ni njaa kali hana analolosema hivi anadhani kupata nafasi ya kuongea kwenye tv ndiyo kujua mambo na watu wengine ni wajinga tukubali anachosema hajitambui
 
Najuta kupoteza muda wangu kumsikiliza huyu mtu mwenye uwezo wa polepole kufikiri kama jina lake,,ningemuona mchambuz wa maana kwa kuzungumzia ukawa na ccm pia siyo upande mmoja tu tena kakomaaa na lowasa
 
Hapa naona zile Billion 150 za CCM zinaendelea kutumika lakini hata huyu pole pole ajue kwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko nje ya CCM na so vinginevyo na kwa hiki anachoongea Leo in dhahiri huyu hawezi tena kutetea kile alichokuwa akikitetea na kwa kuwa ameisha weka wazi kuwa yeye ni CCM hivyo Mimi kama Mimi ninamuondoa kwenye kundi la vijana wanaopambana kulikomboa taifa hili kwenye huu utawala mbovu wa maCCM
 
Back
Top Bottom