Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,382
Mdau.......upo sahihi kabisa.... ninasubiri kwa hamu kuuona uhuru wa vyombo vya habari ...Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.
Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.
Hii ni habari kubwa lakini kuna wahariri kwao hii haitokuwa habari kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.
Leo na kesho ndio mtjua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
Kwani ni lazima watangaze hii habari? kwani kuna habari ngapi za kutangaza?Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.
Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.
Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.
Leo na kesho ndio mtjua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
Ahsante kwa kunijuza hili,vyombo vingine bwana kama tbcCloudstv kwenye ukurasa wao wa instagram wameshasema tusikose taarifa ya habari ambayo itakuwa na taarifa za chama cha wananchi CUF KUIBIWA PESA
Tumepata malaika!!!Kwani ni lazima watangaze hii habari? kwani kuna habari ngapi za kutangaza?
Ahsante kwa kutujuza tufuatili,vyombo vingine vitakaushia,wanafisidi kodi yetu tuCloudstv kwenye ukurasa wao wa instagram wameshasema tusikose taarifa ya habari ambayo itakuwa na taarifa za chama cha wananchi CUF KUIBIWA PESA
Mungu anawaumbua mkuu.Hii issue ya CUF ni kubwa sana.
Nashangaa mpaka sasa mamlaka zote zinazohusika na Fedha serikalini walitakiwa wawe wengine wapo lock up.
Lakini kwa jambo hili utaona namna serikali hii ilivyo.
Na sitashangaa comments za watu wengine ambao watasema kwamba "waliofanya huu mchezo ndio wanaomrudisha Pogba nyuma kwenye mapambano yake... bla bla bla "..
Tusidanyane hii issue ya CUF lazima Pogba anaijua na ndie alietoa baraka zake ifanyike hivyo lengo likiwa ni namna ya kum suppress Maalim Seif na kumlinda Prof uchwara.
Then mtu wa namna hii anakuja kutuambia yeye ni msema kweli, yeye ni mtu wa wanyonge, yeye tumuombee..!!
Yani such a dirty game on money laundering inafanyika waziwazi na kuwa supported na watawala.
Hii ni kuthibitisha kwamba games like EPA, Escrow nk nk vina wazoefu kwenye mamlaka zetu za fedha.
Aibu kubwa kwa serikali na ni aibu kubwa zaidi kwa mamlaka zote za fedha za nchi hii kwa walichofanyiwa CUF.
mama yako yupo JF ???Sasa kama tayari habari umeshapata unataka ipewe kipaumbe cha nini badala ya kilimo cha Pareto Singida?!
Nakuelewa vizuri Mkuu. Hata hili baa la ukame na njaa, kuna media wala hazisemi, kanakwamba wana sayari yao.Kuna wengine saa mbili usiku huu wanaweza wasitangaze kabisa habari hii ya Mtatiro kuhusu fedha za chama cha CUF kuibiwa japo imetoka mapema kabisa na kuna wengine wanaweza kuitangaza saa 5 usiku na kuendelea badala ya saa 2 usiku wa leo.
Kesho kuna magazeti hayataandika chochote kuhusu hii habari na mengine yataigusia kwa uzito mdogo kabisa katika kurasa zao za mbele na mengine yatagusia kidogo katika page za katikati.
Hii ni habari kubwa lakini kuna baadhi ya wahariri kwao hii haitokuwa habari muhimu kama ile ya mtu fulani kupiga kengele na kujumuia kijiweni.
Leo na kesho ndio mtajua viwango vya waandishi wetu wanaolilia uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau wamiliki wa vyombo hivi pia.
Hii issue ya CUF ni kubwa sana.
Nashangaa mpaka sasa mamlaka zote zinazohusika na Fedha serikalini walitakiwa wawe wengine wapo lock up.
Lakini kwa jambo hili utaona namna serikali hii ilivyo.
Na sitashangaa comments za watu wengine ambao watasema kwamba "waliofanya huu mchezo ndio wanaomrudisha Pogba nyuma kwenye mapambano yake... bla bla bla "..
Tusidanyane hii issue ya CUF lazima Pogba anaijua na ndie alietoa baraka zake ifanyike hivyo lengo likiwa ni namna ya kum suppress Maalim Seif na kumlinda Prof uchwara.
Then mtu wa namna hii anakuja kutuambia yeye ni msema kweli, yeye ni mtu wa wanyonge, yeye tumuombee..!!
Yani such a dirty game on money laundering inafanyika waziwazi na kuwa supported na watawala.
Hii ni kuthibitisha kwamba games like EPA, Escrow nk nk vina wazoefu kwenye mamlaka zetu za fedha.
Aibu kubwa kwa serikali na ni aibu kubwa zaidi kwa mamlaka zote za fedha za nchi hii kwa walichofanyiwa CUF.
Mungu anawaumbua sana Mkuu.Mungu anawaumbua mkuu.