Leo hakuna tochi njia ya Moshi Arusha!!??

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,905
Reaction score
40,122
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........

Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......

NB
Nimepanda Dar express ya Nairobi.....

 
Kwamba wanamwaga moto sana au.

NB: kama wanamwaga moto sana ndani ya gari kuna namba za sumatra piga ni bure washtaki. Mwendokasi unaua, chukua tahadhari
 
Reactions: SDG
Mwambie dereva wamevaa mikoti yao na mianvuli, bili za fine zinatumwa ofisi za dar express
 
dawa ya tochi kuna ki application kiko google store nyoko Police traps and Speedcams - Android Apps on Google Play
nakumbuka hapa hadi mwanza huguswi af kilivyo kizuri kinakuonesha kabisa umbali kumkaribia askari au kivuko cha abiria darh tulikuta traffic wengine wamejificha hadi kwe miti aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwendo kasi wa kilo mita 120 kwa saa kwa basi ni sawa na gari dogo 140 sawa kinacho leta taabu ni ubovu wa barabara magari na uzembe wa madereva.
Dreva aliye makini kuangalua mapungufu hamna taabu.
Wazembe wanapinduka na materekita na puna na guta
 
siyo kila gari inapigwa tochi. wanajuana hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…