Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,825
- 9,644
Wasalaaam ndugu wana jamii!!
Siku chache zilizopita mlisikia kitu kilichotokea pale clouds media(upande wa TV)..
Kwa wasio jua inshort..
Bwana makonda,paul au daudi bashite akiwa na kundi la makomando wa jeshi la polisi mkoa wa dsm wapatao 7 walivamia kituo cha matangazo ya television cha clouds media juzi tarehe 16/3/2016 saa 4:12:10 usiku kushinikiza kipindi au maushui aliyo yapeleka kituoni hapo ya rushwe hewani bila kuzingatia taratibu za kikazi katika fani ya utangazaji na utaratibu wa kipindi husika akitumia kinga yake kama mkuu wa mkoa!!
Kwa muda sasa huyu mteule wa rais(au wengine wanapenda kumuita malaika mkuu wa Tanzania) amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa sababu ameteuliwa na huyo tajwa hapo juu...
Huyu bwana daudi alinza kwa..
1.kutukana na kuwavunjia utu baadhi ya watendaji wa serikali katika ofisi ya ardhi kinondoni,nadhani mnakumbuka alicho fanyiwa bi.Rebema mwinuka na wenzake pale kwenye mkutano wa huyu bwana,wananchi na maafisa!!
2.Mnakumbuka tatizo la kuwanyasa wasanii kutaka uhusiano kwa nguvu kwa kuwa yeye ni mkuu wa mkoa,wakumbuke akina masogange alitishiwa kufungwa(japo hili halijulikani na wengi),wema sepetu ili asipelekwe mahakamani n.k
3.Mnakumbuka alivyo kosa maadili ya kazi kwa kuwasema watu hadharani hadi kupoteza maisha kwa presha wengine..
4.mnakumbuka kipindi cha nyuma wakati wa bunge la katiba alivyomfanyaia mzee warioba,sinde Joseph!
5.mnakumbuka alivyo kuwa anaacha kazi anaenda kusheherekea mambo ya ajabu uasio na faida kwa wananchi anao wasimamia..
6.mnakumbuka ufisadi alioufanya akishirikiana na kampuni ya saimon group..
7.mnakumbuka sakata la kughushi vyeti vya elimu ya sekondari(form four)
N.k
Leo hii
8.anavamia vyombo vya habari..
====>utakuta wanahabari na baadhi ya wamiliki mnaendelea kuandika habari zake bila kufikilia kwamba leo kwao kesho kwetu na ukizingatia kikulacho kinguoni mwako...
====>kwanini msitumie nguvu zenu zilizopo kwenye kalamu kumpoteza katika siasa na kumfanya malaika wake achanganyikiwe!!
====>kwanini msimburuze kortini kwa kile anachokifanya,hamuoni mnaingiliwa katika utendaji wa taaluma yenu...
====>kwanini msichambue maadili ya utumishi wa umma katika media zenu ili wananchi,na wanahabari wakatae kuburuzwa na watumishi ovyo kama makonda/bashite.
====>Hadi sasa mmefanya maamuzi gani kwa kile kilichotokea kwa mwenzenu clouds media,tamko gani mmetoa..
====>kwa mtu yoyote mwenye akili anaweza kuongeza muhimili wa nne kuwa ni vyombo vya habari na hivyo kuweza kufanya lolote na kuiweka nchi gizani mwa fikira na habari...
====>Ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji...
Mnatiaje maji?,myaweke maji kichwani kwa kupiga kelele dhidi ya hujuma za kiutendaji za watumishi aina ya makonda na kuwashitaki kabisa..
Mkianza nyie wengine watafuata..
Kila la kheri.
PIGENI KELELE.