Leo 5/11/2017 naacha pombe rasmi

mkubwa nikionacho ni kwamba ulikua na hela sasa hela imekata unapata stress sasa
 

Mkuu uamuzi wako ni mzuri sana. Kama uko DSM fanya tukutane mchana huu tuzigonge bia za kutosha kukuaga rashi chamani.......mimi sina sababu ya kuacha, pombe haijawahi kuniangusha!
 
M ndiyo naanza rasmi
 
Bro usizingue kwan kipind unaanza ulitutangazia??...
Jibu...ni hapana

Xx iache hvohvo bila kututangazia

Vngnevyo had xx uko baa unakula balimi ya tatu
 
Hahahhaah karibu sana napiga kili ndogo ya nne hapa... Hadi ifike jioni ntakua nishafuta crate
 
Basi Leo jioni tukutane pale Kibobori bar nikupe Serengeti mbili za kuaga
 
Hallelujah
Wakati wa Bwana umewadia
 
Mkuu, binafsi nilijaribu kuacha na baada ya kama miezi minne (bila kunywa ata moja) nilirudi mwenyewe. Nilikuwa nikikaa kichwa kinaniuma bila sababu za msingi, mawazo mawazo tu yasiyo-isha, usingizi wa shida yaan tafrani tu. Hii ilikuwa mwaka 2013.

Pia kipindi hiki cha vyuma kukaza, nilitafakari tena kuacha, ila nikaona nisiache. Nikaamua kujitenga kidogo na kampani kubwa ya kunywa pamoja kwa sababu bajeti hairuhusu, na pia majukumu yangu yameongezeka (utu uzima huu tena). Nimebadili bar, huwa naenda bar ambako hakuna mikusanyiko mikubwa... napiga zangu mbili au tatu then nasepa.

Vilevile naamini pombe za makundi ni mbaya; kuna kujazana sana upepo na hatimaye kufanya mambo nje ya uwezo na ya hatari pia. Since when in a mob, chances to go overboard are high.

Ila kama umeamua kuacha muombe sana Mungu, sio kitu rahisi.

Mungu akusaidie.
 
unaacha pombe, lazma utakuwa umeingia kwenye kaulevi kengine, tumia vilevi vyoote ila hivi kama hukufanya hapo kabla usijaribu ukiwa mtu mzima.

usitumie unga
usijaribu kula Tigo...live it...love it
usiwe mlevi wa wowowo utarudi na tope nyumbani
usijaribu sigara
ulevi mwingine ni ku bet
 
Kuacha pombe ni rahisi....
Kimbembe kipo kwenye kuacha sigara...
 
Jamani mbona unataka kwenda kinyume na Sera ya awamu ya tano "Tanzania ya viwanda"
 

mkuu mwaga hizo mbinu za kimedani jukwaani tupambane na huyu mwovu ibilis manake naona anaelekea kuchukua point zote tatu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]


*kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia*.......haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.........
*baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya Serengeti lite naendelea kunywa*....
sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa
 

Hahahahahahaa we jamaa bna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…