Leo £1 = $1.067

Leo £1 = $1.067

Hii sasa ndio effect ya vita ya Russia na Ukraine, US kawalazimisha EU kuweka vikwazo, yeye kafanya biashara sasa wanakiona cha moto.
Ni mtazamo wangu tu.
 
Wachambuzi wa uchumi wamelalamika kuwa Bank kuu ya China imeishusha thamani fedha yao kwa kiwango cha chini zaidi tofauti na awali.
Huu uongo huwa mnautoa wapi? Imeporomoka licha ya Bank Kuu ya Watu wa China kujitahidi kuikwamua.
Screenshot_20220928-151609_Chrome.jpg
 
Hata yulo nayo inapumulia makalioni na hapo bado mrusi hajatupa hata bomu moja tu la nyuklia hapo London
 
Huu uongo huwa mnautoa wapi? Imeporomoka licha ya Bank Kuu ya Watu wa China kujitahidi kuikwamua.View attachment 2370704
Hata 2018 Donald Trump alitoa shutuma hizo kwenda kwa Bank ya China na wakakanusha kufanya hicho kitendo. unategemea China watakubali kufanya hivyo Kama tu mpaka leo hawataki kuwekwa developed nation ila wao wanadai bado wapo developing nation.

Hizo ni faul za kiuchumi China huwa anafanya kwenye fedha yake hakuna kipya hapo.
 
Hata 2018 Donald Trump alitoa shutuma hizo kwenda kwa Bank ya China na wakakanusha kufanya hicho kitendo. unategemea China watakubali kutanya hivyo Kama tu mpaka leo hawataki kuwekwa developed nation ila wao wanadai bado wapo developing nation.

Hizo ni faul za kiuchumi China huwa anafanya hakuna kipya hapo.
Tunaongelea cross-cutting issues wewe unaleta hadithi za alfu lela ulela.

China kuna mdororo wa uchumi hivi karibuni uliosababishwa na Covid-19 Lockdowns (wao ukitokea mlipuko mpaka leo wanajifungia) na kuna ukame pia, hapo hatujaongelea vita ya Urusi ambayo imeathiri Uchumi wa Dunia, ikiwemo China.

Be realistic. Achana na propaganda na stori za zamani.

Wasome Wachina wenyewe hapa chini:
 
1. Hizo effects za ukame za kuanzia miezi July huko China zime affect vipi pesa yao kushuka sana ?

Maana sasa china wapo kipindi cha pili cha mavumo .

2. Zero policy imeathiri vipi fedha ya China kuyumba sana kitu ambacho hakija wahi tokea toka dunia kuwahi kuwapo ?

3. Hadithi gani mimi nilizo Leta mkuu ?

4. Una fahamu awali yuan na USD ilikuwa imetofautiana kwa kiwango gani na kwa nini ghafla yuan ili anza kushuka ?

: Kuhusu mdodoro wa uchumi kwa athari za Covid19 na Russia/Ukraine conflict hizi zimeikumba dunia nzima kila taifa na athari zake hakuna anaye kataa haya kutokea.
 
Hata 2018 Donald Trump alitoa shutuma hizo kwenda kwa Bank ya China na wakakanusha kufanya hicho kitendo. unategemea China watakubali kufanya hivyo Kama tu mpaka leo hawataki kuwekwa developed nation ila wao wanadai bado wapo developing nation.

Hizo ni faul za kiuchumi China huwa anafanya kwenye fedha yake hakuna kipya hapo.
Yah.. Kama wanavyoifanya Yen wajapan
 
Back
Top Bottom