Nahitaji simu tajwa hapo juu kwa anayeiuza au anayeweza kunipatia msaada wowote wa namna ya kuipata yoyote kati yao naomba tuwasiliane hapa hapa jamvini.
Mkuu ngoja tusikilizie na wengine kama inaweza kupatikana haraka, ikishindikana tutatumia njia yako but itabidi bei tuipunguze kidogo kwa 350 ipo juu sana.