Lenovo core i3 laptop

Lenovo core i3 laptop

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
664
habari wadau..

napenda kuwaulza wataalam hivi lenovo i3 yenye specification hapo chini,

nikinunua kwa laki 6 na nusu ntakuwa nimepigwa au ndo bei yake hyo..

processor speed 2.4

HDD 500 GB

RAM 4 GB

SCREEN 15.6"

(wi-fi, dvd-rw, cam ) ----- YES
 
Specs zake ziko poa,ila labda nikuulize kuhusu iyo bei ni dukani au unanunua kwa mtu?.
 
habari wadau..

napenda kuwaulza wataalam hivi lenovo i3 yenye specification hapo chini,

nikinunua kwa laki 6 na nusu ntakuwa nimepigwa au ndo bei yake hyo..

processor speed 2.4

HDD 500 GB

RAM 4 GB

SCREEN 15.6"

(wi-fi, dvd-rw, cam ) ----- YES

Bila shaka hii itakua second hand maana yaani ishatumiwa huko kwao wakamaliza wakaipiga soap soap ndo wakaileta bongo ila bei ndo yenyewe
 
Kama ni dukani kk,vemaa!,ila nakushauri hakikisha unapata warranty na uwe na uhakika na hilo duka,maana wengine wanatabia za kupiga housing mpya ilihali machine imeshachoka kitamboo.Specs zake ziko vizuri!
 
dah kaka hii ni pc sio simu, huwezi piga housing pc na kama unataka housing ya pc ni ghali kuliko... rekebisha kauli sema refubrished na ikiwa refubrished huwa vilevile they dont change much.. na huwezi kuta pc new in box eti refubrished au imepigwa housing. ts a lie... kaka mwenye post chukua hiyo lenovo coz ndo brand inayoanza kuingia saaana bong na nyingi huwa mara nyingi ni OG sio feki na huwezipewa refubrished, cha kuzingatia ni processor yake iwe ni 4th generation hizi mpya ndo utaenjoy mkuu... joe out
 
Back
Top Bottom