Lengo ni kuingo'a CCM au kuleta maendeleo?

Siku hizi kamekuwa ni ka shock absorber ka ma ccm.

Hakana tofauti na mrema.

Kako tayari kujidhalilisha ili kudhibiti mchakato wa katiba mpya.
 
Let say umeenda hospitali ukaambiwa una kansa kwenye kidole inabidi kikatwe ili kansa isije kuenea mwili mzima.. halafu una muuliza dokta "hivi lengo lako ni kunikata kidole au kuzuia kansa isienee?

kuzuia kansa hapo ni kukata kidole... na hakuna maendeleo kabla ya ccm haijang'olewa..
 
ugomvi ulsha isha baada ya cdm kuomba radh, hakuna maendeleo nchi hii km ccm wataendelea kua madrkn, so lazm ccm watoke!
 
Wameunganaje kama hawapatani? Walitokaje bungeni kwa pamoja kama hawapatani? Endelea kusubiri uone inawezekanaje. "ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO"

Soma hii hapa chini
chanzo: HATARI!! WAFUASI CUF, CHADEMA WAONESHANA UBABE MIKUTANONI... - ziro99blog
 
Trust me yaani ukishaiondoa CCM tu umeshaleta maendeleo kwa sehemu kubwa sana. Ukiwa kipofu hutaelewa namaanisha nini
 
Wewe kwa mawazo yako unafikiri watanzania wataweza kupata maendeleo bila kung'oka CCM?

Kwa hiyo lengo kuu ni kwanza kutimiza azma ya kuitoa CCM madarakani, ili lengo la pili kuu, la kuwapatia maisha bora ya kikwelikweli watanzania, lipate kutimia!
 
Vyma vya upinzani mbona vinachechemea?
 
Lengo no yote 2 yaani kuitoa CCM kwenye usukani na maendeleo kufuatia . Kazi kubwa na ngumu sana ni kuitoa CCM pale maendeleo ni mepesi maana , Tanzania ni tajiri hivyo inawezekana kwa kila kitu baada ya CCM kuwa nje .
 
Wakara wa SHETANI mwaka huu mna kazi.

LENGO KUU LA UKAWA ni kuiondoa CCM madarakani, SIMPLE AND CLEAR!

CCM ikishaondoka madarakani mambo mengine kama maendeleo yatafuata baadaye, maana CCM ndiyo kikwazo cha maendeleo yetu.
 
Huwezi kuleta maendeleo kama ccm iko madarakani. Cha kwanza ni kuing'oa ccm madarakani ndipo maendeleo yatapatikana
 
Wakara wa SHETANI mwaka huu mna kazi.

LENGO KUU LA UKAWA ni kuiondoa CCM madarakani, SIMPLE AND CLEAR!

CCM ikishaondoka madarakani mambo mengine kama maendeleo yatafuata baadaye, maana CCM ndiyo kikwazo cha maendeleo yetu.
Kwani UKAWA ndio nini?
 
WE MTOA MADA, NAKUJIBU KAMA IFUATAVYO:- ISIPONG'OKA CCM MAENDELEO ITAKUWA NDOTO KATIKA NCHI HII.
Ccm ni PAKA maendeleo ni PANYA, ILI PANYA AISHI LAZIMA PAKA AONDOLEWE TENA KWA NGUVU KAMA ILE YA MISRI, LIBYA n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…