Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,095
- 24,323
Nilimuuliza rafiki yangu wa US 'is Trump hawkish?' Akanijibu absolutely. Nikamwambia 'but he never fought a war in his 1st term' akanyamaza kimya tukaendelea na mambo mengine.
Kiwango mtu anachokuchokoza ndicho hicho unapaswa kumshughulikia nacho.
Marehemu Yahya Sinwar aliharibu sana mpango wa Iran kuishambulia Israel.
Na mimi niseme ulitibuliwa na Mungu mwenyewe .
Siku ya kuishambulia Israel makubaliano yalikuwa iwe siku moja kwa mpigo.
Iran tayari ilishaanda Balistic Missiles na launcher zake zitakazorushwa Israel kwa mpigo zaidi ya 1000 ili kuzielemea defense systems za Israel.
Target ni kama kurusha mawe gizani, popote wewe piga tu, ua kadiri unavyoweza na nia ni kuwamaliza Israel wote.
Yahya Sinwar akasanua huu mpango kwa kuanzisha mashambulizi kabla ya wakati, kimbele mbele chake.
Ndio maana hata uniambie nini, ninaamini kwa moyo wangu wote, Israel inalindwa na Mungu (Emanuel)
So ukisema sisi tulio upande wa Israel ni war mongers and blood thirsty, wewe unayei support Iran tusemeje❓🫤
Kama ukisema Iran iliacha nuke proliferation nitakuuliza hizo 460Kg karibia ya ½tani za Urani iliyorutubishwa zaidi ya 60% inayotosha kutengeneza vichwa 11 vya nuclear ni za nini? maana haifai tena kwa matumizi ya kiraia❗❓
Hayo mengine ya uhusiano wa Israel na US nimeshakujibu

- Hamas washambulie kutokea Gaza Magharibi,
- Hezbolla washambulie kutoka Lebanon, Kaskazini,
- Houthi washambulie kutoka Yemen, Kusini
- Vikundi vingine vya Kiislamu vishambulie kutoka Iraq, Mashariki
- Makundi yaliyoko WB nayo yashambulie from within, na
- Baba lao Iran yenyewe ishambulie kutoka juu.