CC:Makonda,kamanda Mambosasa,Baada ya Chadema kususia uchaguzi mdogo kwa majimbo kadhaa ikiwamo longido na songea , kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote ile Ghafla tu wameamua kushiriki Chaguzi za Siha na Kinondoni.
Lengo halisi la kushiriki majimbo haya mawili hasa hili la kinondoni ni kuvuruga Chaguzi wakiwa na nia ya kuchafua image ya nchi kimataifa.
Nasema hivyo kwakua Sababu wanazodai kuwazuia kushiriki chaguzi za awali hazikua na ukweli wowote na hili limedhibitishwa na wao wenyewe kwa kushiriki Chaguzi za sasa.
Vile vile kwa kumteua Mgombea ambaye ni very unpopular ni ishara ya kumtoa sadaka Mgombea mwenyewe na kumtumia tu kama chambo ya kuwaweza kushiriki Katika uchaguzi na kuuvuruga.
Salum, hafahamiki, hana ushawishi wala hawezi shinda uchaguzi wa jimbo la kinondoni.
kwakua Salum hana yote hayo, unauliza sababu za Chadema kumtumia Katika uchaguzi huu na kubaki na moja tu, ya kufanya vurugu.
Ni Rai yangu tu kwa vyombo vya usalama kuwa makini sana wanapodeal na wafuasi wa Chadema Katika Chaguzi hii kwani Nina hakika hawaji kushiriki kwa lengo la kushiriki, Bali kuna nia ovu nyuma yake.
Baada ya Chadema kususia uchaguzi mdogo kwa majimbo kadhaa ikiwamo longido na songea , kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote ile Ghafla tu wameamua kushiriki Chaguzi za Siha na Kinondoni.

Kuna mpemba asiyefahamika kinondoni/ magomeni/ mwananyamala?!!.......nenda pale mtambani utanielewa!Baada ya Chadema kususia uchaguzi mdogo kwa majimbo kadhaa ikiwamo longido na songea , kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote ile Ghafla tu wameamua kushiriki Chaguzi za Siha na Kinondoni.
Lengo halisi la kushiriki majimbo haya mawili hasa hili la kinondoni ni kuvuruga Chaguzi wakiwa na nia ya kuchafua image ya nchi kimataifa.
Nasema hivyo kwakua Sababu wanazodai kuwazuia kushiriki chaguzi za awali hazikua na ukweli wowote na hili limedhibitishwa na wao wenyewe kwa kushiriki Chaguzi za sasa.
Vile vile kwa kumteua Mgombea ambaye ni very unpopular ni ishara ya kumtoa sadaka Mgombea mwenyewe na kumtumia tu kama chambo ya kuwaweza kushiriki Katika uchaguzi na kuuvuruga.
Salum, hafahamiki, hana ushawishi wala hawezi shinda uchaguzi wa jimbo la kinondoni.
kwakua Salum hana yote hayo, unauliza sababu za Chadema kumtumia Katika uchaguzi huu na kubaki na moja tu, ya kufanya vurugu.
Ni Rai yangu tu kwa vyombo vya usalama kuwa makini sana wanapodeal na wafuasi wa Chadema Katika Chaguzi hii kwani Nina hakika hawaji kushiriki kwa lengo la kushiriki, Bali kuna nia ovu nyuma yake.
Tatizo vigeu geu sana nyiee...hamjulikani mbele yenu ipi na nyuma yenu ipi kama naniliu vile....Mbona CCM mmeumia kiasi hiki kwa Chadema kushiriki uchaguzi?
Mada hujasoma halafu unatoa laanaSijasoma mada lakini naomba nikujibu ifuatavyo
Mlitaka upinzani wasishiriki tuamini nchi ni ya chama kimoja?
Vurugu zenu hamzioni
Arusha mlifanya nini
Hii nchi ni yetu wandugu mbona kututenga???
Mlaaniwe ninyi na vizazi vyenu
Baada ya Chadema kususia uchaguzi mdogo kwa majimbo kadhaa ikiwamo longido na songea , kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote ile Ghafla tu wameamua kushiriki Chaguzi za Siha na Kinondoni.
Lengo halisi la kushiriki majimbo haya mawili hasa hili la kinondoni ni kuvuruga Chaguzi wakiwa na nia ya kuchafua image ya nchi kimataifa.
Nasema hivyo kwakua Sababu wanazodai kuwazuia kushiriki chaguzi za awali hazikua na ukweli wowote na hili limedhibitishwa na wao wenyewe kwa kushiriki Chaguzi za sasa.
Vile vile kwa kumteua Mgombea ambaye ni very unpopular ni ishara ya kumtoa sadaka Mgombea mwenyewe na kumtumia tu kama chambo ya kuwaweza kushiriki Katika uchaguzi na kuuvuruga.
Salum, hafahamiki, hana ushawishi wala hawezi shinda uchaguzi wa jimbo la kinondoni.
kwakua Salum hana yote hayo, unauliza sababu za Chadema kumtumia Katika uchaguzi huu na kubaki na moja tu, ya kufanya vurugu.
Ni Rai yangu tu kwa vyombo vya usalama kuwa makini sana wanapodeal na wafuasi wa Chadema Katika Chaguzi hii kwani Nina hakika hawaji kushiriki kwa lengo la kushiriki, Bali kuna nia ovu nyuma yake.
Watu aina yako ndiyo wanafanya Tanzania kuwa shithole, na umeanza siku nyingi sana kufanya hivyo.Baada ya Chadema kususia uchaguzi mdogo kwa majimbo kadhaa ikiwamo longido na songea , kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote ile Ghafla tu wameamua kushiriki Chaguzi za Siha na Kinondoni.