kashinda Kesi zote kwa hiyo yupo wapi saa 9:00 Alasiri hii??muda huu inapigwa Filimbi ya kula pale Jela Karanga kwa ajili ya mlo,saa 10:00 kamili kila mmoja anatakiwa awe Selo kwake ndani hivyo kuona jua ni mpaka kesho,hakika Jenerali Sabaya cha moto anakipata,lile Gambe lote la Arusha mwaka sasa hajaliona daaah maisha haya!!!