Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
KWANZA kabisa kwa upande wangu naelekeza lawama kwa maafisa wote wa idara ya usalama wa taifa [TISS]waliokuwemo katika hiyo operesheni tokomeza ujangili vipi walishindwa kutoa taarifa mapema kama kuna unyama unaendelea kufikia hapo, inabidi hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa TISS WALIOKUWEMO KATIKA OPERESHENI HIYO, kazi ya TISS ni kulinda heshima na nchi na kuzuia aina yote ya uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.NAOMBA DAWATI LA OPERESHENI KUWASHUGHULIKIA HARAKA MAAFISA HAO.
nikija kwa Mbunge J. Lembeli mwenyekiti wa kamati ya maliasili na mazingira huyu bwana ni hodari mno kukosoa wenzake lakini ameficha uchafu mkubwa na inadhihirisha jinsi gani alivyo mnafiki, Lembeli anashirikiana na mafugaji wenzake kuharibu hifadhi ya wanyapori kule burigi na kimisi kwa kuweka maelfu ya Ng'ombe anashirikiana na mafugaji ambao zinapokamatwa ng'ombe zao hifadhini na kutakiwa kutozwa faini wanampigia simu Lembeli na kuwakingia kifua wasilipe faini, Lembeli alikuwa akishirikiana sana na Kagasheki akimtumia kumfanikishia mambo yake ikiwemo safari za wizara ambazo hazimuhusu lakini Kagasheki alikuwa analazimisha itengwe bajeti aende na Lembeli ndio maana wakati akisoma ripoti Lembeli alitaka kuleta ujanja kutetea Kagasheki na kumkandamiza katibu mkuu mama Tarishi kwa kumuonea.
wafugaji wafuatao ndio waharibu wakubwa wa hifadhi yetu ya Kimisi na Burigi wakishirikiana na Lembele
1. Bwana George 0784281154
2. Bwana Makoye 0687657720
3. Bwana Budugu 0785665791 au 0788920689
4. Mgema 0682243625
5. Rugina 0786900626[Mnyarwanda]
upi ukweli wa Lembeli kama anafikia kuwakingia kifua watu wanaoharibu hifadhi zetu wanyama wetu pori wanapotea, Lembeli hilo halijali uko wapi uzalendo wake mpaka apate huo uwaziri anaoutaka? Lembeli amefikia kumchukia sana katibu mkuu wa maliasili na utalii mama Tarishi na kutaka asimamishwe kwa kuwa huyu mama amekuwa kikwazo kikubwa dhidi ya machafu yake yote anayotaka kuyapenyeza wizarani.
Hilo nalo neno.!
!
hii kimisi niliisoma vibaya
Kama Unataka kujua Ufisadi na Unafiki wa Lembeli... kawaulize TANAPA... huko ndo alikuwa akifanyia kazi kabla ya kuwa mbunge. Huyu jamaa ni fitina tupu. Hafai. Analinda maslahi yake na ya mafisadi wenzake tu. Ni mvurugani mkubwa na hajali maliasili zetu. Huko TANAPA aliibia shirika sana mpaka akaondolewa huko.
Anaendeleza fitina zake na kuwatetea majangiri kwa sababu eti Operation imekiuka haki za binadamu hali yakuwa ameona yeye na majangiri wenzake wameshikwa pabaya na Operation Tokomeza. Tunamuomba Raisi Kikwete awe makini na Mtu huyu. Anaivuruga nchi,.. na hasa wizara ya Maliasili na Utalii. Halali, ni fitina tu mpaka apewe yeye huo uwaziri
KWANZA kabisa kwa upande wangu naelekeza lawama kwa maafisa wote wa idara ya usalama wa taifa [TISS]waliokuwemo katika hiyo operesheni tokomeza ujangili vipi walishindwa kutoa taarifa mapema kama kuna unyama unaendelea kufikia hapo, inabidi hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa TISS WALIOKUWEMO KATIKA OPERESHENI HIYO, kazi ya TISS ni kulinda heshima na nchi na kuzuia aina yote ya uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.NAOMBA DAWATI LA OPERESHENI KUWASHUGHULIKIA HARAKA MAAFISA HAO.
nikija kwa Mbunge J. Lembeli mwenyekiti wa kamati ya maliasili na mazingira huyu bwana ni hodari mno kukosoa wenzake lakini ameficha uchafu mkubwa na inadhihirisha jinsi gani alivyo mnafiki, Lembeli anashirikiana na mafugaji wenzake kuharibu hifadhi ya wanyapori kule burigi na kimisi kwa kuweka maelfu ya Ng'ombe anashirikiana na mafugaji ambao zinapokamatwa ng'ombe zao hifadhini na kutakiwa kutozwa faini wanampigia simu Lembeli na kuwakingia kifua wasilipe faini, Lembeli alikuwa akishirikiana sana na Kagasheki akimtumia kumfanikishia mambo yake ikiwemo safari za wizara ambazo hazimuhusu lakini Kagasheki alikuwa analazimisha itengwe bajeti aende na Lembeli ndio maana wakati akisoma ripoti Lembeli alitaka kuleta ujanja kutetea Kagasheki na kumkandamiza katibu mkuu mama Tarishi kwa kumuonea.
wafugaji wafuatao ndio waharibu wakubwa wa hifadhi yetu ya Kimisi na Burigi wakishirikiana na Lembele
1. Bwana George 0784281154
2. Bwana Makoye 0687657720
3. Bwana Budugu 0785665791 au 0788920689
4. Mgema 0682243625
5. Rugina 0786900626[Mnyarwanda]
upi ukweli wa Lembeli kama anafikia kuwakingia kifua watu wanaoharibu hifadhi zetu wanyama wetu pori wanapotea, Lembeli hilo halijali uko wapi uzalendo wake mpaka apate huo uwaziri anaoutaka? Lembeli amefikia kumchukia sana katibu mkuu wa maliasili na utalii mama Tarishi na kutaka asimamishwe kwa kuwa huyu mama amekuwa kikwazo kikubwa dhidi ya machafu yake yote anayotaka kuyapenyeza wizarani.
kwanza kabisa kwa upande wangu naelekeza lawama kwa maafisa wote wa idara ya usalama wa taifa [tiss]waliokuwemo katika hiyo operesheni tokomeza ujangili vipi walishindwa kutoa taarifa mapema kama kuna unyama unaendelea kufikia hapo, inabidi hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa tiss waliokuwemo katika operesheni hiyo, kazi ya tiss ni kulinda heshima na nchi na kuzuia aina yote ya uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.naomba dawati la operesheni kuwashughulikia haraka maafisa hao.
Nikija kwa mbunge j. Lembeli mwenyekiti wa kamati ya maliasili na mazingira huyu bwana ni hodari mno kukosoa wenzake lakini ameficha uchafu mkubwa na inadhihirisha jinsi gani alivyo mnafiki, lembeli anashirikiana na mafugaji wenzake kuharibu hifadhi ya wanyapori kule burigi na kimisi kwa kuweka maelfu ya ng'ombe anashirikiana na mafugaji ambao zinapokamatwa ng'ombe zao hifadhini na kutakiwa kutozwa faini wanampigia simu lembeli na kuwakingia kifua wasilipe faini, lembeli alikuwa akishirikiana sana na kagasheki akimtumia kumfanikishia mambo yake ikiwemo safari za wizara ambazo hazimuhusu lakini kagasheki alikuwa analazimisha itengwe bajeti aende na lembeli ndio maana wakati akisoma ripoti lembeli alitaka kuleta ujanja kutetea kagasheki na kumkandamiza katibu mkuu mama tarishi kwa kumuonea.
Wafugaji wafuatao ndio waharibu wakubwa wa hifadhi yetu ya kimisi na burigi wakishirikiana na lembele
1. Bwana george 0784281154
2. Bwana makoye 0687657720
3. Bwana budugu 0785665791 au 0788920689
4. Mgema 0682243625
5. Rugina 0786900626[mnyarwanda]
upi ukweli wa lembeli kama anafikia kuwakingia kifua watu wanaoharibu hifadhi zetu wanyama wetu pori wanapotea, lembeli hilo halijali uko wapi uzalendo wake mpaka apate huo uwaziri anaoutaka? Lembeli amefikia kumchukia sana katibu mkuu wa maliasili na utalii mama tarishi na kutaka asimamishwe kwa kuwa huyu mama amekuwa kikwazo kikubwa dhidi ya machafu yake yote anayotaka kuyapenyeza wizarani.